Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 2,695
- 6,224
Na Mataji ya makaburini juuu😹😹😹
Weee nikome
Na Mataji ya makaburini juuu😹😹😹
Mamaae ulivyojibu sina mbavuuuu ... Bro max atuletee option ya voice note 😂Waleko moselamu ...
Got no dollars init .. Niko na coins za TshAre there dollarz in your pockets?!
Samaleko
quotes zangu huzioni au ? Mfungo mkali ?Mimi nakwambia wewe ni mzaramuuu hutaki 🤣
Maregusaram😹😹Waleko moselamu ...
Kaka huku hakuna mnuso wa pesa jobless mwenzangu labda udangwe hivyo vi mi 200 vyako na kina Mallerina kipenzi wazee wa madhabahu 🤣 Gademiti.Sasa uliona kama ukiniambia Kuna huu uzi huku ntafaidii sana ukaamua kunyamaza kimyaaa 😂😂 ... Makamuuu wewe mzaramuuu
Light saber😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Haki ya Mungu ngoja nikaangalie!quotes zangu huzioni au ? Mfungo mkali ?
HahahaKuna mwamba humu alileta uzi eti anakufa kesho kutwa , baada ya kesho kutwa mod wakamgundua analike like nyuzi za makutupora , wakaamua kuu ganisha nyuzi ya kifo na ile mpya aliotengeneza ili waanike ujinga wake
Ila JF😂😂😂😂😂
Mamaae ulivyojibu sina mbavuuuu ... Bro max atuletee option ya voice note 😂
Nilitamani kusikia ukiisema kabisaaa
Mimi ni padreeeeeee 😂Kaka huku hakuna mnuso wa pesa jobless mwenzangu labda udangwe hivyo vi mi 200 vyako na kina Mallerina kipenzi wazee wa madhabahu 🤣 Gademiti.
Kwani jamii forum umeingia Lin last time? Hpn sio leoHaki ya Mungu ngoja nikaangalie!
Ni za Leo?
Mamaae ulivyojibu sina mbavuuuu ... Bro max atuletee option ya voice note 😂
Nilitamani kusikia ukiisema kabisaaa
Ma pa,,,, ee huwato,,,,ba masistere kwani na hicho ni ki Arabu nacho mkuu? Gademiti.Mimi ni padreeeeeee 😂
Got no dollars init .. Niko na coins za Tsh
Acha ufal* nimefungaaa 😂Ma pa,,,, ee huwato,,,,ba masistere kwani na hicho ni ki Arabu nacho mkuu? Gademiti.