Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
Wazee ndio wenyewe ๐คKuwachungulia wazee unaona wote unaweza kitufokea tu๐ช๐ช
Murder case inakubishia mlangoni. Kutaka kuua wazee kifuani tu. Wazee tu kuwa bamiza vijana aaaaaah,๐คฃ๐คฃ๐คฃWazee ndio wenyewe ๐ค
Inasemekana 1 mistake 1 goal
Mimi sio kijana sasa naanza je kurudi ujana ni mheshimiwa?Murder case inakubishia mlangoni. Kutaka kuua wazee kifuani tu. Wazee tu kuwa bamiza vijana aaaaaah,๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Usoni kijana wa 25 unamaanisha ila down zea mileage ndo inasoma 52 . GorgeousMimi sio kijana sasa naanza je kurudi ujana ni mheshimiwa?
Yaani umeongea viceversaUsoni kijana
Bila hata Onyo? Hapana bwana.Utasikia banned
Sababu umeenda nje ya mjadala๐๐๐
๐Twenzetu tukalindeBila hata Onyo? Hapana bwana.
Hope urassa ๐คฃ๐คฃ
Unakuaga kujitetea Mamchagaa huna chakunibadilisha . Njoo PM unisalimie kwanza๐คฃYaani umeongea viceversa
Mimi ni nani niitwe hata nisije nakujaaa Mheshimiwa we mtu mkubwa sana ujueUnakuaga kujitetea Mamchagaa huna chakunibadilisha . Njoo PM unisalimie kwanza๐คฃ
๐๐Mimi ni nani niitwe hata nisije nakujaaa Mheshimiwa we mtu mkubwa sana ujue
Hujambo mkwe? Twende Kwa Mtumishi wa Mungu Mtume Mwamposa akakuombeee
duh ila we mtoto wewe,, kazi unayo๐๐๐๐พ๐๐๐๐Utajua we subri sasa hv namaliza kuhangaikia niende dasalam an nifanye field karibu na mashangaz
Sijambo ila mimi nimenuna๐Hujambo mkwe? Twende Kwa Mtumishi wa Mungu Mtume Mwamposa akakuombeee
๐๐
Kwann umenuna mkwe?? Unajua ukinuna mie nakosa Hali,Sijambo ila mimi nimenuna๐
Wewe ulinikimbiaKwann umenuna mkwe?? Unajua ukinuna mie nakosa Hali,
Niambie mkwe
Wapi mkwe?? Nimemuachia nafasi mwanangu,Wewe ulinikimbia
Jana! Uliniita halafu ukakimbiaWapi mkwe??
Nimemuachia nafasi mwanangu,