Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
HahahahahaSipendi usumbufu wake Mimiš
HahahahahaSipendi usumbufu wake Mimiš
š¤£š¤£š¤£š¤£Yaani nimeshangaa sanaHahahahaha..yaani kumbe walikua wananivizia ..hahahahaha
Hahahahaha..kwahiyo mimi shetani na wewe ndio mbuyu wangu..Hahahahaha hii nimeipenda ...shetani kapata kitiEti wanasema hawajawahi kukuona hivyo,mi nikasema Kila Shetani na mbuyu wake jamaniš
Hahahahaha...mimi pia nimeshangaa ujue ila ndio vzrš¤£š¤£š¤£š¤£Yaani nimeshangaa sana
Kiti chenyewe Cha mpingo,Shetani ajibwage tu hakivunjikiš š ššHahahahaha..kwahiyo mimi shetani na wewe ndio mbuyu wangu..Hahahahaha hii nimeipenda ...shetani kapata kiti
Ha haaaa haaa vizuri sanaHahahahaha...mimi pia nimeshangaa ujue ila ndio vzr
Hahahahaha..safi sana nimependa hiiKiti chenyewe Cha mpingo,Shetani ajibwage tu hakivunjikiš š šš
Hahahahaha...breakfast ushapata ? Mchana natuma lunch box š¦ šHa haaaa haaa vizuri sana
Address ni Ile Ileš Leo siagizi chipsi Kwa hamijeyHahahahaha...breakfast ushapata ? Mchana natuma lunch box š¦ š
Hahahahaha..atakuja kijana kukuleteaAddress ni Ile Ileš Leo siagizi chipsi Kwa hamijey
Mungu akuzingatie sanaHahahahaha..atakuja kijana kukuletea
š š š..amenMungu akuzingatie sana
Hahahahaha...bahati ya mwenzio usilale mlango wazi ..utaibiwaJoannah unapewa mapochopocho hadi rahaaš
š¤£š¤£š¤£Na unavyopenda kula haya ndio mambo unataka kuyasikia
Acha niwaache ila hapo kwenye lunch box nawaza sijui ni chips yai au ndizi mshale zilizotiwa nazi na utumbo kilo mojaš„ŗHahahahaha...bahati ya mwenzio usilale mlango wazi ..utaibiwa
Hahahahaha...hebu waulize instabul pale wana lunch box ipi, au uliza subway ama hata shishi food kama ana lunch boxAcha niwaache ila hapo kwenye lunch box nawaza sijui ni chips yai au ndizi mshale zilizotiwa nazi na utumbo kilo mojaš„ŗ
Ukimaanisha?Hahahahaha...hebu waulize instabul pale wana lunch box ipi, au uliza subway ama hata shishi food kama ana lunch box
Hahahahaha..moja yako moja ya JoannahUkimaanisha?