Lightysh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 436
- 1,561
Hapana, ni naniMhh Leni una mjua?? 😁
Hapana, ni naniMhh Leni una mjua?? 😁
You Love the guy na humfatilii ujue ameachia kipi kipya 😂😂Namjua si namuonaga kwa tv😂
Darrasa? I love the guy, hapo nitaisikiliza. Nitajie jina tena nishasahau wifi yako nimezeeka🤣
Basi sio wewe, nili jua ame rejea. And sorry for asking about your relationship status 🙏.Hapana, ni nani
Ndio shida ya kuishi kianalogia.You Love the guy na humfatilii ujue ameachia kipi kipya 😂😂
kumpiga adui na mwiba wa samaki machoni na kumlisha ugali mkavuMbinu za kijasusi ndio zii ?
Usijali, no need to apologise.Basi sio wewe, nili jua ame rejea. And sorry for asking about your relationship status 🙏.
I didn't mean any malice at all
Alright, kuhusu mchuchu labda mwakani🤣Usijali, no need to apologise.
Usikae single sana, tafuta mchuchu.
😂😂😂 atakuelewa kweli? Si ataona unataka mama mtu nife njaaa ili abaki na nani na duniani niko peke yanguNdio shida ya kuishi kianalogia.
Kwahyo ndio unanichamba? Nitamwambia kaka asikupe hela ya matumizi ujue
Hahaa mwakani sio mbali ujue.Alright, kuhusu mchuchu labda mwakani🤣
Worry out, ni Mali Safi, ni Ile special edition 😊😊🤗😁Hahaa mwakani sio mbali ujue.
Utuletee mali safi mawifi tumpitishe, usituletee mtu kapauka tafadhali
Ndio ndio, inayojielewa😀Worry out, ni Mali Safi, ni Ile special edition 😊😊🤗😁
Tuache huko, kama hueleweki kwanini tusikujadili 😂😂😂😂😂😂mliofatana inbox ntawapa alovera hii hapa sms zenu zinachekesha sana View attachment 2976725
mbona huyu anakumentioned sana hadi na fake P ila hajwahi kujibu kitu,
watakuja kulia na kusaga meno nawajua vizuri ila nawaonea huruma hawaTuache huko, kama hueleweki kwanini tusikujadili 😂😂😂😂😂😂
Ni id yangu ya pili hiyo 😂😂😂mbona huyu anakumentioned sana hadi na fake P ila hajwahi kujibu kitu,
unajitekenya na kucheka mwenyewe 😀😀😀😀😀Ni id yangu ya pili hiyo 😂😂😂
Ndio maana nimention
Bado sijalog in nikajijibu
Mara moja moja 🥹unajitekenya na kucheka mwenyewe 😀😀😀😀😀
My all time favorite crush in here 😘😘😘😘Thanks 😍