Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,312
- 79,988
Kaka jana ilikuwa vuta nikuvute pale nilikuwa nacheka tu 😂😁😁😁kulikuwa na Maonesho ya Afya na UsalamaKijana ulikuwa mwema zamani, sijui nani kaku roga😁😂
Kaka jana ilikuwa vuta nikuvute pale nilikuwa nacheka tu 😂😁😁😁kulikuwa na Maonesho ya Afya na UsalamaKijana ulikuwa mwema zamani, sijui nani kaku roga😁😂
Nipo good rafiki, nafurahi kukuonaSalama upo ok rafiki yangu
Mayday mayday 😂😁😁😁😂😂😂😂😂 sitaki kusema kityu right now, nitafukuza my prey. but the attacks is real
Kijana karibu tupate matunda, acha hizo habari😁Kaka jana ilikuwa vuta nikuvute pale nilikuwa nacheka tu 😂😁😁😁kulikuwa na Maonesho ya Afya na Usalama
Weee watakua watakua wanafunzi wakuja tu , wakazi wa njiro hawapiganiKuna mademu jana walipigana jioni pale uwanja wa General Tyre, Njiro nilicheka sana walivutana mawigi 😁🤣😂😁😁😁😁😁😁😁
Asante sana kaka 😂😁 jana nilicheka sana Kuna mmoja nilimuonea hadi hurumaKijana karibu tupate matunda, acha hizo habari😁
Lakini mmoja wao SI alikuwa rafiki ako😁Asante sana kaka 😂😁 jana nilicheka sana Kuna mmoja nilimuonea hadi huruma
😂😁😁😁😁😁😁Hizi ni za ndaaani KabisaWeee watakua watakua wanafunzi wakuja tu , wakazi wa njiro hawapigani
😂😂 kaka ako analeta hapo chapMzuzu na mbuzi choma wii wake kipedhi😋
Usisahau Pepsi baridiii
then Strike up boy😂Mayday mayday 😂😁😁😁
Hapana kaka Mimi jana nilikuwa msimamizi tu wa sehemu ya NHIF hadi alivyokuja doto biteko nikaona ugomvi wadada wawili 😂😁Lakini mmoja wao SI alikuwa rafiki ako😁
😂😂😂 tunanyimaaZita sababisha mgao wa amani, maana kila mtu ata taka😁🤣
View attachment 2976666
Mkuje wote bana😂😂 kaka ako analeta hapo chap
🤣😂😁😁😁😁Intercontinental ballistic missilethen Strike up boy😂
😂 njoo utuijieMkuje wote bana
Subiri mwakani 😁😂😂😂😂 tunanyimaa
Kijana hebu acha hizo😁😂, una jua intelli siku hizi napenda ugali na samaki.Hapana kaka Mimi jana nilikuwa msimamizi tu wa sehemu ya NHIF hadi alivyokuja doto biteko nikaona ugomvi wadada wawili 😂😁
Kha mnapenda starehe nyie watu wawili😂😂 njoo utuijie
Jana nilicheka hadi jamaa wakaniambia kumbe watu dar mnapenda sana ngumi na kucheka sana 😂😁😁Kijana hebu acha hizo😁😂, una jua intelli siku hizi napenda ugali na samaki.
Sasa mnavyo rushiana damu sijui ka ntakuja kula kuku Tena😁😂