Hii iko kidunia wanawake lazima tugombane, na ugomvi wetu mkubwa ni hawa binadamu wenye makengele π€£π€£π€£π€£
Wanawake tumeumbiwa wivu na ubinafsi
ππππ Sehemu yenye fake idβs usitegemee kupata rafiki wa kweli..!!
Humu rafiki yako akiogopa kukwambia ukweli anakwambia kwa id nyingine sasa ndio nini??
Halafu urafiki wa humu ni wa kunafikiana sana!! Ukiona siri zako nyingi zinatoka bila kujua ujue rafiki yako anazitoa.
Sema mimi nikimpenda mtu nampenda kweli sio kinafiki, ila akizingua ndio sielewiii!!!
Hii iko kidunia wanawake lazima tugombane, na ugomvi wetu mkubwa ni hawa binadamu wenye makengele π€£π€£π€£π€£
Wanawake tumeumbiwa wivu na ubinafsi
Sasa Sio vizuri kabisa, halafu ujue kuna kipindi nilitaka uniajiri dukani kwako jobless mimiπ€£π€£π€£π€£. ila ukahisi kama nimetumwa sijui nikaomba unitafute kabisaπ₯Ίππππ

Mimi niwe mkweli nikikukwaza ukiniambia private sina shida au ukiniambia jukwaani kwa id yako ninayoijua hiyo sina tatizo kabisaa!!
Ila ukija kwa njia za panya lazima nikufurahishe πππ

Ila ukija kwa njia za panya lazima nikufurahishe