Shikamoo 😃😃
Wacha weeh
Ila mshikaji tangu Jana unanisumbua..haya tulia😘
Aya nameless Order vigezo na masharti vimezingatiwa..Ila mshikaji tangu Jana unanisumbua..haya tulia![]()

😂😂 Hata Mimi naonaAya nameless Order vigezo na masharti vimezingatiwa..
Lakini mwanafunzi mtundu darasani ndo huwa anakumbukwa kuliko yule mtulivu![]()
Huu uzi umekimbia sana hata sikuona,
nakukubali jiraniGood morning dear... Hope umeamka salama
Mjuba kama mjubaHuu uzi umekimbia sana hata sikuona,nakukubali jirani
Niko vyema, za huko ulipo?Good morning dear... Hope umeamka salama
Huku bomba kabisa japo bado nimelala😀 ntaamka vizuri badae badae.Niko vyema, za huko ulipo?
apo ndo penyeweUsisahau na chachandu, me naandaa kiporo hapa cha wali-maharage