Hujawahi kukataa b…Nami nimekubali kusumbuka b..., niko hapa. Lol
Ova
Mtani wangu uishi milele...
Nyie na Mahonda simlishaachana au ndio unarudisha majeshi?
What a lovely dedication smart I don't know hata nisemeje dah💕
Nyie na Mahonda simlishaachana au ndio unarudisha majeshi?
Nikajua mmeachana ili nijiegeshe aisee 🤷♂️Na Smart hatujawahi achanaga!🙃
Nikajua mmeachana ili nijiegeshe aisee 🤷♂️
😂😂Toa laana zako huko! Ulishindwa wapi sikuzote ije kuwa leo??
Rafiki 🤸🏻🤸🏻What a lovely dedication smart I don't know hata nisemeje dah💕
I love it babe thankuuuuuu♥️💋💋
😂😂😂Toa laana zako huko! Ulishindwa wapi sikuzote ije kuwa leo??
Jan kuishi kimkakati tu swahiba 😃Swahiba januari si ndio inaanza kesho eeeh!... 😀
View attachment 2857970
Kwa kweeli. 😀Jan kuishi kimkakati tu swahiba 😃