Kwanza naomba nichukue fursa kukushukuru kuniqoute..nilikuwa nikikusubiri mda mrefu sana.asante mno.
Nikaona uzi wowote wa ushauri uko na comment yako nasoma mara mbili mbili.unaushauri mzuri sana.pokea sifa na utukufu
Back to the point.
Chakor ni main character wa movie moja ya kihindi inaitwa udaan kama sijakosea..ila nilijiita Chakorii kwa lafudhi ya kichaga.kwa bahati mbaya sikufanikiwa kuimaliza hiyo movie mana ni ndefu ..ila ni movie nzuri sana unaeza kulia mwanzoni kama mtu wa machoziya karibu.
Nimejaribu kutafuta maana yake kihindi baada ya kuniuliza sijafanikiwa..
Kwa msaada wa anko gugo...
View attachment 1566694