Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Hivyo ukaona raha mwenyewe. 😀😀Dada yangu nimekumiss! Jana nimekuona unalia na timu yako
Nimekumiss pia mdogo wangu nilipita sehemu nikaona post zako unavyotuona sisi mazuzu eti. Nikasema. Lol.Dada yangu nimekumiss! Jana nimekuona unalia na timu yako
Ngoja nilicheki kama lipo hai lihuni lileLast seen may 30, mcheck nje na humu ndani

Niko mzima ukuje pm nipate namba yakoNimekumiss pia mdogo wangu nilipita sehemu nikaona post zako unavyotuona sisi mazuzu eti. Nikasema. Lol.
Vipi lakini uko mzima?
Ee bhana!!! Kweli aiseesijui unatumiaga nn.....afu huna maneno mengi afu unatukulajee.
I always call you a SILENT KILLER
![]()


wala sijui nacheka niniSister! Habari za masiku tele✋
Za masiku tele nzuri mdogo wangu. Long time no seen nikawa najiuliza hivi upo kweli.Sister! Habari za masiku tele✋
nipo nalea mtoto, ananipeleka mputa mputa, kweli.Za masiku tele nzuri mdogo wangu. Long time no seen nikawa najiuliza hivi upo kweli.
Mefurahi kukuona.
Hongera sana pia ndo ukubwa huo mdogo wangu.nipo nalea mtoto, ananipeleka mputa mputa, kweli.
Nashukuru kwa kunikumbuka.
asante! Sana shangazi nitazifikisha salamu zako kwa udhamini wa jamiiforumsHongera sana pia ndo ukubwa huo mdogo wangu.
Mwambie aunt yake anamsalimia.
🙏
Ewaaaa!! 🤝asante! Sana shangazi nitazifikisha salamu zako kwa udhamini wa jamiiforums
Mkuu MD nipo habari za majukumu boss wangu 😀Kiongosiiiiii niaje
MD gani bana wew mbona unataka kuniziba nsipate ajira na ujobless wangu wote huuMkuu MD nipo habari za majukumu boss wangu 😀