Kule naeza pitisha masiku na mawiki sijaenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Valentina ... hakuna hata aliyenificha luv. Nilipumzika JF kama miaka 4 hivi.... MMU naona mambo tofauti siku hizi. Nimemiss enzi zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nimeona hilo pia.Kule naeza pitisha masiku na mawiki sijaenda
Hapanogi sikuhizi
Upo daslam hii mrembo?Nimeona hilo pia.
Yes, mara ya mwisho umeniona sijui mwaka gani... Sasa hivi mdada ๐๐๐๐๐Upo daslam hii mrembo?
Basi tutafutane mpenzi [emoji39]Yes, mara ya mwisho umeniona sijui mwaka gani... Sasa hivi mdada [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Yes my luv ๐๐๐Basi tutafutane mpenzi [emoji39]
ChokozaaKuna mtu memiss kumchokoza humu
Kuna movie naangalia hapa aloo ni tamu balaa ๐๐Kingereza nakijulia wapi me St. Kayumba
Ndio ukajikuta na wewe mblack america sio๐Kuna movie naangalia hapa aloo ni tamu balaa ๐๐
Inani turn on kwenye nyanja nyingi
Imeninogea sanaNdio ukajikuta na wewe mblack america sio๐
Yaitwaje
Nisaidie kulitukana li Nyani NgabuChokozaa
Nisaidie kulitukana li Nyani Ngabu
Dada yangu nimekumiss! Jana nimekuona unalia na timu yako