Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Mimi natenda mema tena sana, hata wewe unalijua hiloUsipofanya mema kwangu hapa duniani, paraidso unaweza usifike nikafika peke yangu...
Mimi natenda mema tena sana, hata wewe unalijua hiloUsipofanya mema kwangu hapa duniani, paraidso unaweza usifike nikafika peke yangu...
Basi nitendee wema alafu uende zako...Mimi natenda mema tena sana, hata wewe unalijua hilo
Wema gani unataka kutendewa zaidi ya huu naokuonyesha hapa jukwaaniBasi nitendee wema alafu uende zako...
Usiponifungulia pm hapa, nami sitakufungulia geti la showroom...
Fungua pm nikuambia wema gani...Wema gani unataka kutendewa zaidi ya huu naokuonyesha hapa jukwaani
Niambie hapa, pm sifungui hata kwa bundukiFungua pm nikuambia wema gani...
😍 🙊 my@Criston ColeRhaenyra wa Criston Cole 🌹
Ulikua hujijui eeh...
Kumbe ndio unachotaka hiko, sasa si umfungukie tu
Mimi jeuri kama ulivyosema...Kumbe ndio unachotaka hiko, sasa si umfungukie tu
Jeuri itakukosesha mambo mazuriMimi jeuri kama ulivyosema...
Jeuri alafu jasiri, mwenye asili..Jeuri itakukosesha mambo mazuri
Em nione picha ya huo ujasiriJeuri alafu jasiri, mwenye asili..
Mambo sii ndiyo hayo sasa, fungua pm...Em nione picha ya huo ujasiri
Nitumie hapaMambo sii ndiyo hayo sasa, fungua pm...
Mbona 🙊🙊😍 🙊 my@Criston Cole
Jau...Nitumie hapa