fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,678
- 9,264
Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam fc kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa.programu nzima ya uzinduzi imefanywa kiholela,hapakuwa na programu iliyoandaliwa vizuri,hapakakuwa na mc mzoefu na wala hapakuwa na hamasa yoyote