Mentality ya kuwa na Plan B

Mentality ya kuwa na Plan B

Charmaine

Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
61
Reaction score
161
Nilipata nafasi ya kusoma chuo kozi ya “Computer Science”! Kozi hii ni pana sana na ina maeneo kadhaa ambapo unaweza kuchagua ni eneo lipi uwe mbobevu. Mfano, kuna eneo la “Programming”, kuna “Graphics”, kuna “Networking”, kuna “PC Maintenance”, na kuna “Database”!

Sasa wakati najiunga na chuo nikawa nawaza kwamba nina options 5 mkononi. Yaani nikishindwa #code, basi plan B yangu itakuwa ni graphics. Nikishindwa graphics, basi plan B yake itakuwa ni database administration. Ikinishinda database, basi nitafanya networking. Na nikishindwa networking basi nitafanya hata maintenance. Hivyo kila option ilikuwa na plan B yake!

Mara nyingi wanachuo wanapojiunga na kozi hii default option yao inakuwa-ga ni “Programming” a.k.a kupiga #code. Eneo hili linahushisha core programming (kutengeneza software, apps, n.k), internet programming (kama vile kutengeneza websites), nakadhalika. Ila code zikiwa mtihani, unaangalia maeneo mengineyo.

Sasa niko chuo tayari na kujifua kwenye eneo la #code kunaendelea, kukawa na rafiki yangu ambaye yeye alikuwa kachagua upande wa graphics. Jamaa akaanza kupiga hela za logo, kutengeneza mabango, matangazo ya video, n.k., huku bado tukiwa chuo. Akawa ameni-impress sana, nikaona huku kwenye code nitachelewa.

Nikaweka nguvu zangu kwenye graphics sasa, nikahisi eneo hili lina urahisi kwenye kujifunza, na ni rahisi kuanza kupiga pesa. Bhana weee, nilipokuja kwenye eneo hili ndiyo nikagundua natakiwa niwe vizuri kwenye Photoshop, Illustrator, After Effect, n.k. Zaidi, natakiwa niwe mbunifu sana ili kukidhi matarajio ya wateja. Ule urahisi niliokuwa nauhisi kumbe siyo. Kuna kazi ya ziada inabidi niifanye ili nianze kupiga pesa kwenye eneo hili.

Wakati naendelea kujitafuta, washikaji wakawa wanasema; Networking ni moja ya eneo bora sana kulifanyia kazi kwani huwa halina shughuli na pilikapilika nyingi. Ukisha-set LAN yako shughuli imeisha, halafu unaendelea kula mshahara…!

Basi nikazama mzima mzima kwenye networking. Kufika huku nako nikakuta kuna mambo mengi sana. Mara sijui Linux server, mara sijui Windows server, na kuna kupiga #commands tena ni zile commands ngumu ngumu achana na hizi za “Ping 127.0.0.1”!

Nikawaza weee, na kugundua kwamba mtu wa kwanza kupiga pesa kitaa huwa ni fundi. Fikiria kuhusu fundi saa, fundi simu, n.k., hawalalagi njaa hawa jamaa. Hivyo nikaona niki-focus kwenye eneo la PC Maintenance inaweza ikawa rahisi kutoboa.

Nikaanza kujifua mzee, sasa changamoto ikawa unaletewa laptop mbovu, haiwaki, and you have no clue uanzie wapi kufanya troubleshooting. Kwahiyo huku nako kuna “headache” zake nyingi tu.

Kwahiyo, mpaka nakuja kumaliza chuo, nikajikuta siko deep kwenye eneo lolote lile kati ya maeneo haya makuu matano, kwa sababu nilikuwa nagusa eneo moja nakaa kidogo halafu nahamia eneo lingine. Yaani najua code kidogo, najua graphics kidogo, najua networking kidogo, najua maintenance kidogo, na naweza database kidogo. Skillset yangu ikawa average sana, haiwezi kunifanya nipate kipato ninachokihitaji.

Nataka kusema nini hapa…???

Well, kosa nililolifanya mie nikiwa chuo, ndiyo kosa lilelile watu wengi wanalifanya mtaani wakati wakifanya maamuzi ya kutekeleza jambo. Mathalani, vijana wengi huwa wanaandaa kile wanachokiita “Plan B”. Kwamba ikitokea jambo hili limefeli, basi nitafanya jambo hili…!

Sasa shida moja kubwa ya kuwa na “Plan B” ni kwamba, plan B huwa inakupa comfortability ya kufeli kabla hata hujaanza jambo lenyewe. Akili ikishawaza kwamba, “nikishindwa jambo hili, badala yake nitafanya jambo lile” ujue tayari una chance kubwa ya kulihama kwenye jambo hilo.

Mathalani, ukisema unataka uanze biashara ya nguo za mitumba, halafu ukiona mitumba inazingua basi utafanya biashara ya asali mbichi. Na ukiona asali mbichi inazingua, utafanya biashara ya mbao. Mbao ikizingua, basi utaanzisha mradi wa kuku wa nyama (broiler)!

Amini nakuambia, ukiwa na Plan Bs back-to-back namna hiyo jua tu ya kwamba ndani ya muda mfupi utakuwa tayari umezifanya biashara zote hizo 4 halafu hakuna hata moja itakayokuwa imesimama.

Ili uweze kufanikiwa katika jambo inatakiwa usiwe na mbadala wowote isipokuwa jambo lenyewe. Komaa na jambo lako hadi lisimame, lionekane, na lianze kukuletea matunda. Halafu hizo zilizokuwa Plan Bs unazianzisha kama njia zinginezo za kukuingizia mapato!

WaHehe hupenda kusema, “Life doesn’t get easier, you just get stronger”, ama “It never gets easier, you just get better”! Ukiona jamaa anakaa kwenye PC yake na kufyatua logo kali, siyo kwamba logo design ni kazi rahisi, bali jamaa yuko vizuri kwenye eneo hilo na si ajabu imemchukua miaka kibao kufikia ubora huo.

Ukiona jamaa anapiga pesa kwenye biashara ya mbao, siyo kwamba biashara ya mbao ni rahisi tu, bali jamaa yuko vizuri kwenye eneo hilo na si ajabu imemchukua miaka kibao ya kuanguka na kunyanyuka tena kwenye hiyo biashara hadi kufikia ubora huo.

Ukiona msanii anapiga pesa kupitia muziki wake, siyo kwamba kwenye muziki ni rahisi kupata pesa, bali jamaa yuko vizuri kwenye eneo hilo. Kuna wakati akiwa underground alirushiwa makopo jukwaani, lakini hakutaka kufanya “Plan B”, aliamua kukomaa hivyohivyo na leo hii ni star! Nakadhalika, nakadhalika…!

Kwahiyo, ujumbe wangu wa leo kwa vijana wenzangu ni kwamba, komaa na jambo hadi lisimame, lifanikiwe. Ukishafanikiwa kwenye jambo moja (core business), itakuwa rahisi kwako kuanzisha na kuendeleza vyazo vingine vya mapato. So, f*ck that Plan B bla bla, you are on the A team!
 
Mi nafikir ulikosea badala usome ili uelimike wewe ukaanza kuwaza kusoma ili upige hela. Kitu chochote ukitaka kufanya malizia kabisa. coz itakucost muda na muda haurud. Ila napingana na wewe kuhusu plan B. Kitu chochote unachofanya kina input na output so kabla hujafanya unatakiwa ujihakikishie utafanikiwa kwa asilimia ngapi na ikitokea umefeli way out ni ipi. Ndio inatokea plan B sasa. Sio unafanya vitu vipande vipande halafu unaita plan B hapana.
 
Naona plan B imemaliza wengi kama uko chuo wakati husika we soma upate matokeo ya juu zaidi ishu za biashara zipo tu baada ya hapo wala usiwaze..

Plan B imemaliza sana dada zetu wale sijui anasoma akifeli ataolewa unakuta wana loose concentration kweny masomo mwisho wa siku wanakosa kote anazalishwa hamna ndoa wala kazi au ujuzi hana..

Ujumbe naongezea fanya kitu sahihi katika wakati sahihi "Chagua moja" na uwe too obsessed na ulilochagua.

Miruzi mingi inapoteza mbwa tulia fanya kitu kimoja kwa usahihi kila angle ukipiga fresh unakuwa sehemu salama.
 
Respect....

Hiki kilimo cha matikiti watu wanakisimulia mno ngoja tuone 😟😟😟

Au nifuge kuku 🤔🤔🤔
 
Hua najitahidi kukomaa na jambo moja ambalo naona litanifikisha ninapotaka nikijua kwamba jambo hilo likifeli "Iam goimg down with the ship"
 
Nilipata nafasi ya kusoma chuo kozi ya “Computer Science”! Kozi hii ni pana sana na ina maeneo kadhaa ambapo unaweza kuchagua ni eneo lipi uwe mbobevu. Mfano, kuna eneo la “Programming”, kuna “Graphics”, kuna “Networking”, kuna “PC Maintenance”, na kuna “Database”!

Sasa wakati najiunga na chuo nikawa nawaza kwamba nina options 5 mkononi. Yaani nikishindwa #code, basi plan B yangu itakuwa ni graphics. Nikishindwa graphics, basi plan B yake itakuwa ni database administration. Ikinishinda database, basi nitafanya networking. Na nikishindwa networking basi nitafanya hata maintenance. Hivyo kila option ilikuwa na plan B yake!

Mara nyingi wanachuo wanapojiunga na kozi hii default option yao inakuwa-ga ni “Programming” a.k.a kupiga #code. Eneo hili linahushisha core programming (kutengeneza software, apps, n.k), internet programming (kama vile kutengeneza websites), nakadhalika. Ila code zikiwa mtihani, unaangalia maeneo mengineyo.

Sasa niko chuo tayari na kujifua kwenye eneo la #code kunaendelea, kukawa na rafiki yangu ambaye yeye alikuwa kachagua upande wa graphics. Jamaa akaanza kupiga hela za logo, kutengeneza mabango, matangazo ya video, n.k., huku bado tukiwa chuo. Akawa ameni-impress sana, nikaona huku kwenye code nitachelewa.

Nikaweka nguvu zangu kwenye graphics sasa, nikahisi eneo hili lina urahisi kwenye kujifunza, na ni rahisi kuanza kupiga pesa. Bhana weee, nilipokuja kwenye eneo hili ndiyo nikagundua natakiwa niwe vizuri kwenye Photoshop, Illustrator, After Effect, n.k. Zaidi, natakiwa niwe mbunifu sana ili kukidhi matarajio ya wateja. Ule urahisi niliokuwa nauhisi kumbe siyo. Kuna kazi ya ziada inabidi niifanye ili nianze kupiga pesa kwenye eneo hili.

Wakati naendelea kujitafuta, washikaji wakawa wanasema; Networking ni moja ya eneo bora sana kulifanyia kazi kwani huwa halina shughuli na pilikapilika nyingi. Ukisha-set LAN yako shughuli imeisha, halafu unaendelea kula mshahara…!

Basi nikazama mzima mzima kwenye networking. Kufika huku nako nikakuta kuna mambo mengi sana. Mara sijui Linux server, mara sijui Windows server, na kuna kupiga #commands tena ni zile commands ngumu ngumu achana na hizi za “Ping 127.0.0.1”!

Nikawaza weee, na kugundua kwamba mtu wa kwanza kupiga pesa kitaa huwa ni fundi. Fikiria kuhusu fundi saa, fundi simu, n.k., hawalalagi njaa hawa jamaa. Hivyo nikaona niki-focus kwenye eneo la PC Maintenance inaweza ikawa rahisi kutoboa.

Nikaanza kujifua mzee, sasa changamoto ikawa unaletewa laptop mbovu, haiwaki, and you have no clue uanzie wapi kufanya troubleshooting. Kwahiyo huku nako kuna “headache” zake nyingi tu.

Kwahiyo, mpaka nakuja kumaliza chuo, nikajikuta siko deep kwenye eneo lolote lile kati ya maeneo haya makuu matano, kwa sababu nilikuwa nagusa eneo moja nakaa kidogo halafu nahamia eneo lingine. Yaani najua code kidogo, najua graphics kidogo, najua networking kidogo, najua maintenance kidogo, na naweza database kidogo. Skillset yangu ikawa average sana, haiwezi kunifanya nipate kipato ninachokihitaji.

Nataka kusema nini hapa…???

Well, kosa nililolifanya mie nikiwa chuo, ndiyo kosa lilelile watu wengi wanalifanya mtaani wakati wakifanya maamuzi ya kutekeleza jambo. Mathalani, vijana wengi huwa wanaandaa kile wanachokiita “Plan B”. Kwamba ikitokea jambo hili limefeli, basi nitafanya jambo hili…!

Sasa shida moja kubwa ya kuwa na “Plan B” ni kwamba, plan B huwa inakupa comfortability ya kufeli kabla hata hujaanza jambo lenyewe. Akili ikishawaza kwamba, “nikishindwa jambo hili, badala yake nitafanya jambo lile” ujue tayari una chance kubwa ya kulihama kwenye jambo hilo.

Mathalani, ukisema unataka uanze biashara ya nguo za mitumba, halafu ukiona mitumba inazingua basi utafanya biashara ya asali mbichi. Na ukiona asali mbichi inazingua, utafanya biashara ya mbao. Mbao ikizingua, basi utaanzisha mradi wa kuku wa nyama (broiler)!

Amini nakuambia, ukiwa na Plan Bs back-to-back namna hiyo jua tu ya kwamba ndani ya muda mfupi utakuwa tayari umezifanya biashara zote hizo 4 halafu hakuna hata moja itakayokuwa imesimama.

Ili uweze kufanikiwa katika jambo inatakiwa usiwe na mbadala wowote isipokuwa jambo lenyewe. Komaa na jambo lako hadi lisimame, lionekane, na lianze kukuletea matunda. Halafu hizo zilizokuwa Plan Bs unazianzisha kama njia zinginezo za kukuingizia mapato!

WaHehe hupenda kusema, “Life doesn’t get easier, you just get stronger”, ama “It never gets easier, you just get better”! Ukiona jamaa anakaa kwenye PC yake na kufyatua logo kali, siyo kwamba logo design ni kazi rahisi, bali jamaa yuko vizuri kwenye eneo hilo na si ajabu imemchukua miaka kibao kufikia ubora huo.

Ukiona jamaa anapiga pesa kwenye biashara ya mbao, siyo kwamba biashara ya mbao ni rahisi tu, bali jamaa yuko vizuri kwenye eneo hilo na si ajabu imemchukua miaka kibao ya kuanguka na kunyanyuka tena kwenye hiyo biashara hadi kufikia ubora huo.

Ukiona msanii anapiga pesa kupitia muziki wake, siyo kwamba kwenye muziki ni rahisi kupata pesa, bali jamaa yuko vizuri kwenye eneo hilo. Kuna wakati akiwa underground alirushiwa makopo jukwaani, lakini hakutaka kufanya “Plan B”, aliamua kukomaa hivyohivyo na leo hii ni star! Nakadhalika, nakadhalika…!

Kwahiyo, ujumbe wangu wa leo kwa vijana wenzangu ni kwamba, komaa na jambo hadi lisimame, lifanikiwe. Ukishafanikiwa kwenye jambo moja (core business), itakuwa rahisi kwako kuanzisha na kuendeleza vyazo vingine vya mapato. So, f*ck that Plan B bla bla, you are on the A team!
Kwenda zako! Wewe ni marketing and sales person wa hivi vyuo uchwara vya masuala ya computer science hapa nchini. Nothing more nothing less.
 
Umeongea ukweli mtupu. Mimi ni victim wa plan Bs
 
Mm nimesoma computer science kama wewe. Ila sasa hivi viru vyote mbona unatakiwa kuvisoma ana binafsi navifanya vyote. Nakushangaa kama ulikuwa unachagua cha kufsnya
 
Back
Top Bottom