Pole, ngoja nikutafsirie kwa ufupi ....
Jamaa alikuwa anapita karibu na hospitali ya vichaa, akasikia sauti ikiunguruma kumi na tatu, kumi na tatu ....Jamaa akageuka kuangalia hospitalini akaona kuna tundu kwenye ukuta, akajaribu kuchungulia. Yule chizi aliyekuwa akiimba kumi na tatu kumi na tatu ... akamchoma jamaa jichoni na kuanza kuimba kumi na nne, kumi na nne kumi na nne ...
Inaonekana ni mchezo wa yule chizi alikuwa anaimba na kila anayemchungulia anachomwa jichoni na kujumlisha hiyo namba ...
It is a joke, au hapo bado haujaelewa mkuu? :A S embarassed: