Men's vs Women's eyes on a passing Woman

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
FB_IMG_1557347769709.jpeg
 
:):):) Rafiki hiyo ni sawa na adhabu.... Katika vitu ambavyo siwezi moja wapo ni hilo la imaginanion.. Ukweli naishiaga tu kutazama lakini huwa siwezi kumuweka mtu kichwani... Nina imagine zaidi maisha yangu..
Umeona sasa.

Mie sikukubaliana na mleta uzi na ndio sababu nikawa nasubiria watu kama nyie muje mseme rafiki kwani nilikuwa nawaza hivyo Shemeji yako alivyo na mambo mengi kichwani kiasi kile na yeye anawazaga hivyo au hii ni maalum kwa wale wasio na vitu vingi kichwani rafiki.
 
Hii huwa inatokana na mtu akiwa hana cha kufanya na kichwani kumekuwa na wenge wenge tu kuhusiana na wanawanake... But for me hii kitu nishashindwa, kwa mazingira amabyo huwa naenda kukaa ningekuwa na hii tabia ningepata sana taabu ... Pia ni inatokana na mtu kuto mpa thamani mke wake, haiwezekani upo na mkeo alafu unawaza utumbo.. huko ni kukosa adabu japo hakuna anae jua mawazo ya mtu, ila ni utovu wa nidhamu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom