Jamani leo naomba mnisaidie kwenye hili jambo, kuna kasumba ya watu kujadili mambo mengi sana mpaka maumbile au viungo vya baadhi ya macelebrity hapa nchini.
Mfano, wengi tushasikia mjadala juu ya miguu ya Wema ikishindanishwa na ya Zari. Leo nataka nione uzuri wao wote Wema, Zari na Jokate kwenye mpangilio wa meno yao (dental formula) kwa ujumla.
Maana yangu: Toka nimemfahamu Zari kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, sijawahi kumuona akikenua meno, mara nyingi anapigaga kiugumu mno, akijitahidi sana atatabasamu tu.
Acha tu mkuu yani wengine sijui wanafikiri nini
Kweli shida tulizonazo kama watanzania mambo magumu tunayopitia kweli
1. Ajali kila siku,
2.Vifo vya wajawazito na watoto
3. Issue ya ndugu zetu albino
4. Habari ya mujini foleni za BVR
5. Coming Uchaguzi
6. Shida ya upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii (maji, hospotal dawa na vitendea kazi, umeme, and every thing)
7. Mdondoko wa Tsh unavyoumiza wafanyabiashara na watumiaji/ walaji
Almost everything around us ni problem.......mwenzetu kaona meno ya wema, zari na jocket kweli God forbid