B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,852 Jun 25, 2014 #41 The Boss said: Mchezaji bora wa hii world cup..wakimfungia...sijui itakuwaje Click to expand... Nidhamu yake jee, ndiyo ajaribu ukali wa meno yake kwa wengine? Mtoto wako akiwa hodari lakini mjeuri sana na mwenye dharau jee utamwacha tu na kumchekea?
The Boss said: Mchezaji bora wa hii world cup..wakimfungia...sijui itakuwaje Click to expand... Nidhamu yake jee, ndiyo ajaribu ukali wa meno yake kwa wengine? Mtoto wako akiwa hodari lakini mjeuri sana na mwenye dharau jee utamwacha tu na kumchekea?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,144 Jun 25, 2014 #42 PgSoft2008 said: skynews wanasena anafungiwa miaka miwili Click to expand... kama itakuwa hivyo akimaliza adhabu na kiwango basi tena
PgSoft2008 said: skynews wanasena anafungiwa miaka miwili Click to expand... kama itakuwa hivyo akimaliza adhabu na kiwango basi tena
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,045 Reaction score 13,483 Jun 25, 2014 #43 Hivi uruguay si wamehalalisha bangi kule!