Meno ya dhahabu

Meno ya dhahabu

salum mabura

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Jamani mm natamani sana nioe mchaga ila yale meno yaliyoathiriwa na yenye rangi, siyapendi hata kidogo hivyo nauliza kuna dawa ya kuondoa rangi hiyo ya meno! na rangi ile ya kahawia inasababishwa na nini?
 
hutapata gharama yakumwekea jino la dhahabu
 
Jamani mm natamani sana nioe mchaga ila yale meno yaliyoathiriwa na yenye rangi, siyapendi hata kidogo hivyo nauliza kuna dawa ya kuondoa rangi hiyo ya meno! na rangi ile ya kahawia inasababishwa na nini?
Umeshampata huyo mchaga au unatamani tu? Ukimpata, mpende kwanza, mambo ya meno sijui nini na nini weka
pembeni. Rangi ya meno inasababishwa na uwingi wa madini fulani kwenye maji. Sio eneo lote la uchagani limeathiriwa
na madini hayo. Madini hayo yanaitwa fluoride na kuna kiasi cha madini hayo kinatakiwa kwenye maji; kiasi kikizidi mifupa, meno, huathirika.
 
Kumbe hata km si mchaga unaweza kuathirika meno ukiishi maeneo yenye madini hayo?
kuna dawa ya kuondoa tatizo hilo?
Sasa sisi walimu tarajali tukichaguliwa maeneo hayo situtaoza meno yote!
Inabidi niandae chupa za maji!
 
Back
Top Bottom