Meno ya bandia

Meno ya bandia

mjambaji

Senior Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
174
Reaction score
98
Jamaa mmoja aliyekuwa ameng'oka meno kadhaa alishauriwa na rafiki yake kuwa akienda zahanati fulani ya meno basi ataweza kuwekewa meno mengine, na ndipo siku moja akaamua kwenda kwenye hiyo zahanati na Maelezo kati ya yeye na daktari yakawa kama ifuatavyo;
Jamaa: habari daktari!
Daktari:nzuri nikusaidie nini?
Jamaa: Nimeng'oka meno kadhaa na nimesikia kuwa hapa mnaweza kuniwekea meno mengine.
Daktari:Yah! Ni kweli kama umeng'oka meno hapa huwa tunakuwekea meno mengine ya bandia.
Jamaa:Haa! kweli tunakoelea sasa siko vitu feki vya kichina hadi kwenye afya si mtatuua sasa kwani original hayapo hadi uniweke ya bandia!?
Daktari akabaki hoi asijue amjibu nini mteja wake. Hii imetokea kweli wiki iliyopita hapa Dar.
 
Sasa kama ni kweli mbona umeleta huu uzi kwenye jukwaa la jokes
 
Pole pole
mtajambiwa bure..ushuzi hatupendi utunukie hapa
 
Huwa sijambi bila sababu mkuu, lakini kuna wakati huwa naweza kumjambia mtu mashuzi ya nguvu na yenye harufu Kali kama mtu huyo amenikera sana.
 
Jamba shemeji yangu usimuogope punda yyte mi nipo kwaajili yako
 
Huwa sijambi bila sababu mkuu, lakini kuna wakati huwa naweza kumjambia mtu mashuzi ya nguvu na yenye harufu Kali kama mtu huyo amenikera sana.

Mbona ww umetukera hatujakujambia acha hizo ww jifunze kuvumilia kama unavyovumiliwa ww
 
Jamaa mmoja aliyekuwa ameng'oka meno kadhaa alishauriwa na rafiki yake kuwa akienda zahanati fulani ya meno basi ataweza kuwekewa meno mengine, na ndipo siku moja akaamua kwenda kwenye hiyo zahanati na Maelezo kati ya yeye na daktari yakawa kama ifuatavyo;
Jamaa: habari daktari!
Daktari:nzuri nikusaidie nini?
Jamaa: Nimeng'oka meno kadhaa na nimesikia kuwa hapa mnaweza kuniwekea meno mengine.
Daktari:Yah! Ni kweli kama umeng'oka meno hapa huwa tunakuwekea meno mengine ya bandia.
Jamaa:Haa! kweli tunakoelea sasa siko vitu feki vya kichina hadi kwenye afya si mtatuua sasa kwani original hayapo hadi uniweke ya bandia!?
Daktari akabaki hoi asijue amjibu nini mteja wake. Hii imetokea kweli wiki iliyopita hapa Dar.
Kwangu mie kichekesho hiki kingekuwa murua sana kama mstari wote niliobold ungeondolewa.Ipo sababu yake.
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia eti:Ujinga una nguvù kubwa kuliko Usomi akanipa mfano wa Bunge jinsi palivyo geuzwa kuwa Tavertine Hotel Magomeni mapipa dar..kwa mipasho ya taarabu.Sasa wewe msomaji wa uzi huu angalia ujinga unaoletwa na jinsi unavyoendelezwa.Tikubali Wajinga ndio waliwao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom