Huduma ya meno bandia ipo , usibaki kibogoyo!

Huduma ya meno bandia ipo , usibaki kibogoyo!

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
Iwapo umepoteza meno yako ya asili huna haja ya kubaki na mapengo , Kuna huduma ya meno bandia ya aina tofauti

1.Meno ya Kuvaa na Kuvua ( Removable Partial Denture )

2. Meno Ya Kudumu ( Full Denture ) Chuma/ Zirconia ( yanadumu zaidi ya miaka 25+ )

Faida zake
  • Kuzuia kuharibika kwa meno mengine
  • kulinda mfupa wa taya usipotee
  • Utatafuna chakula vizuri
  • Utakuwa Mtu mwenye Furaha na Kujiamini.

📍Kibaha - Pwani , Magomeni - Dar es Salaam
Apoointment : 0658950085

Karibu Tukuhudumie
Nimeweka Picha Ya Meno Bandia Kabla na baada Ya Matibabu
IMG_2838.jpeg
IMG_2839.jpeg
 
Tatizo mimi huwa Nina mapengo lakini Bado kuna vishina vya meno Bado vimebaki,yaani meno hayakung'oka ila yalimomonyoka,sidhani kama meno bandia tatakaa.
 
Tatizo mimi huwa Nina mapengo lakini Bado kuna vishina vya meno Bado vimebaki,yaani meno hayakung'oka ila yalimomonyoka,sidhani kama meno bandia tatakaa.
Inawezekana bosss unaondolewa visiki vya meno ( Roots ) kisha tunachukua kipimo tunakutengenezea meno bandia ya Kuvaa na Kuvua Utatabasamu vizuri na kujiamini
Hapa chini nimekuwekea picha ya mtu ambaye alikuja hana meno kabisa na baadaye kumtengeneza meno mazuri

Kwa ushauri na maelekezo zaidi unaweza wasiliana nami 0658950085


 
Gharama ya kuweka jino moja LA bandia bei gani?
 
Tsh 40,000/= la kuvaa na kuvua La kudumu Kianzio Tsh 100,000 na kuendelea kulingana na materials na Ubora , uimara karibu
 
Back
Top Bottom