Meno kupandiana kwa watoto

lbaraka

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
393
248
Kuna tatizo la meno kupandiana kwa watoto. Hili husababishwa na jino linapotingishika halafu likaendelea kukaa bila kung'olewa katika umri wa miaka 6-7. Hivyo lile la ukubwani hujipenyeza kwa pembeni.

Ninachojiuliza ni hili; hayo meno yaliyopandiana yana athari gani kwa mtoto atakapokuwa mtu mzima? Yanaweza kuharibu smile au mashavu kupinda upande wakati wa kuongea akiwa mtu mzima?
 
566e3505e96e55694010d6689ddfe3e4.jpg
 
Back
Top Bottom