Mengine tunasingiziwa

mzinzi atasahau wallet lakini sio simu. tena isiyo na password ! thubutuu
 
Uvunguni mwa Vitz midume kumi mseme mnaonewa. naolewa mikoani Dar hapana, jambazi linaweza kuingia ndani ya nyumbani nikaambiwa nikapambane nao kisa "lady is first" akaaa.

Mmmmmmmmh
 
Uvunguni mwa Vitz midume kumi mseme mnaonewa. naolewa mikoani Dar hapana, jambazi linaweza kuingia ndani ya nyumbani nikaambiwa nikapambane nao kisa "lady is first" akaaa.

Eeeh tena njoo nikuoe bibie, wa dar watakuharibu bureeeee...
 
Ha ha ha..!! Fact

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kama panya road ndio hawa
 

Attachments

  • 1427801543887.jpg
    47.7 KB · Views: 212
Ina maana mama watoto lazima aikague sana, usalama ni kuwahi kabla mambo hayajaharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…