''Udom'!bado sana..better
ulete story nyingine tu.kuna jamaa kama 20 nawajua wamesoma bcom udom na
wamemalza mwaka juzi,cha kushangaza hawajawah kuitwa hata kwenye
interview mpaka leo!
''Udom'!bado sana..better ulete story nyingine tu.kuna jamaa kama 20 nawajua wamesoma bcom udom na wamemalza mwaka juzi,cha kushangaza hawajawah kuitwa hata kwenye interview mpaka leo!
umetuwa?!? au......... mbona kama sijakuelewa au na ww kiraza?
tuulize ma'human resource manager acha kujpa moyo, udom wengi mnatoka chuoni hamna kitu. Kwenye ofisi yetu wiki iliyopta graduates wa udom ndio walkuwa wengi bt hamna hata aliefuzu.
bro wangapi wa UDSM wamemaliza hadi leo hii wanatembeza bahasha hamna kitu
''Udom'!bado sana..better ulete story nyingine tu.kuna jamaa kama 20 nawajua wamesoma bcom udom na wamemalza mwaka juzi,cha kushangaza hawajawah kuitwa hata kwenye interview mpaka leo!
Huu ni ulimbukeni tu kusifia na kubeza chuo alichosoma mwenzako. Mwisho wa siku hakuna atakaeuliza umesoma wapi, bali atauliza unajua/unaweza nini. Siku hizi sehemu nyingine hata mavyeti (Na GPA zake) ni vitu vya mwisho. Acheni kukumbatia ujinga wa kusifia wakwe badala ya mke.
tuulize ma'human resource manager acha kujpa moyo, udom wengi mnatoka chuoni hamna kitu. Kwenye ofisi yetu wiki iliyopta graduates wa udom ndio walkuwa wengi bt hamna hata aliefuzu.
huu ujinga wa kuponda chuo cha mwenzako, wana jf wenye tabia hii sijui wataacha lini,,,,, mwisho wa siku, hela is what matters,,, ni body will ask umesoma wapi!! As long as u r successful... Niulize hata mmoja wenu kati ya nyie mnaobishana, said salum bakhresa alisoma chuo gani????,,, it does not matter udom, udsm, havard o wherever!!,,, he is successful,, na ndo tunachoangalia!!!,,,, kuhusu suala la ajira, it is what u produce mdogo wangu,,, watu sku hizi wanaajiriwa hata wenye certificate, alimradi wanaproduce na kudeliver vizuri,, thats it!!,,,,
Dah haya bhana,,,,,,,,
sikukataa kusoma udom kimakosa,,,,asante Rwekaza kwa kunipa admission,asante kwa kunipa cheti changu