Huo mtazamo wako ni tahadhari peke yake:Hiyo tahadhari iko wapi? Ni nani Anamfaa Mengi?kwa tahadhari kubwa naomba niandike haya, ukiwa ni mtazamo wangu na si
lazima kwa mchangiaji yeyote wa JF akubaliane na mtazamo huu. katika kundi la wabunge wanaambatana na Mengi kwenye mikutano mingi ya uhamasishaji wa benki ya VICOBA na mamilioni mengi kutolewa na bwana Mengi huku kauli mbiu ikiwa ni kupiga vita ufisadi, mmoja wa wabunge hao ni Mh Aziza wa Tabora lakini cha ajabu katika mapokezi makubwa yaliyofanyika jana ya kumpokea mh RA Aziza pia alikuwepo sasa cha ajabu Aziza anapigana vita vita na Ufisadi akiwa karibu na Mengi au anaungana na ufisadi akiwa karibu na RA maana katika mapokezi ya Jana Mh Aziza mara kadhaa alikuwa akisika akisema Sema Babaaaa! mara RA anapowaeleza wananchi kuwa waachane kelele za chura, lakini ni Aziza huyo huyo ndiye aliyepokea Baiskeli toka kwa Mengi na ni mtu wa karibu sana wa mengi bakiungana na kina Mwakyembe, kimaro, kilango, sendeka, selelii na wengineo wengi sasa sijui Mh Aziza kahama kwa Mengi tena kapiga magoti kwa RA sielewi na sitaelewa naendelea kulifanyia kazi yaani si muelewi
Inawezekana wengi mkawa hamna habari nyingi za wabunge wa CCM wanaondamana na Mengi kupinga ufisadi, na wabunge hao hasa wa hapa Tabora wamekuwa wakipewa msaada na RA kwa historia yote ya siasa zao akiwemo huyo Aziza Mbunge wa Viti maalumu mkoa Tabora. katika ziara za mengi anazoambatana na wabunge wa CCM kutoa misaada ya hali na mali ikiwemo kuhamasisha project ya VICOBA Mh Aziza ni miongoni mwao na hata sasa kwa hapa Tabora tayari semina za maandalizi hayo ya VICOBA zimekwisha fanyika kwa maandalizi ya kumpokea Mengi aje awezeshe VICOBA Tabora aidha semina hizo zimekwisha fanyika Nzega kwa Mh Selelii na maandalizi yote ya kumpokea Mengi yalishakamilika na alikuwa aje Nzega 15May09 na TAbora 18May09 ratiba ambazo zimekwama .hoja yangu hapa ni kuwa huyo Aziza pia alikuwepo kwenye mapokezi ya RA Igunga jana tena akiwa mstari wa mbele kabisa
Kaka inaelekea siasa huijui. mwanasiasa mzuri hupunguza maadui zake wa kisiasa.Aziza anachotaka ni kusaidia wananchi wake kuwezeshwa chuki ya mengi na rostama ni binafsi kama huelewi hakuna ufisani wala nini hapo.maslahi binafsi.Inawezekana wengi mkawa hamna habari nyingi za wabunge wa CCM wanaondamana na Mengi kupinga ufisadi, na wabunge hao hasa wa hapa Tabora wamekuwa wakipewa msaada na RA kwa historia yote ya siasa zao akiwemo huyo Aziza Mbunge wa Viti maalumu mkoa Tabora. katika ziara za mengi anazoambatana na wabunge wa CCM kutoa misaada ya hali na mali ikiwemo kuhamasisha project ya VICOBA Mh Aziza ni miongoni mwao na hata sasa kwa hapa Tabora tayari semina za maandalizi hayo ya VICOBA zimekwisha fanyika kwa maandalizi ya kumpokea Mengi aje awezeshe VICOBA Tabora aidha semina hizo zimekwisha fanyika Nzega kwa Mh Selelii na maandalizi yote ya kumpokea Mengi yalishakamilika na alikuwa aje Nzega 15May09 na TAbora 18May09 ratiba ambazo zimekwama .hoja yangu hapa ni kuwa huyo Aziza pia alikuwepo kwenye mapokezi ya RA Igunga jana tena akiwa mstari wa mbele kabisa