Wadau tafadhali naomba nielekezwe mahala ofisi za Meneja Rasilimali Watu Dar Es Salaam...
Msaada tafadhali
Ushaliwa, hakuna ofisi ya hivyo
Wadau tafadhali naomba nielekezwe mahala ofisi za Meneja Rasilimali Watu Dar Es Salaam...
Msaada tafadhali
Dah! nimecheka sana. Nahisi hujui maana ya meneja rasilimali watu, ni human resource officer. Sasa unatak a wa kampuni gani au ofisi gani. Huna tofauti na mtu anaeulizia ofisi ya mhasibu ipo wapi, mhasibu wa wapi?