Mi naomba kuuliza, kwani Clouz ndiyo radio pekee nchini? Kwani ukipigiwa nyimbo na clouz ndio unatoka? Mbona msanii kama Mo-music wa "Basi nenda" ametoka tu japo wimbo wake haujapigwa sana na clouz maana kizuri ni kizuri tu kama msanii ukiwa na wimbo mkali sidhani kama utaacha kutoka, mbona Samir nyimbo yake ilivuma kwa njia ya blutooth za simu bila clouz na leo ni msanii mkubwa tu..?!