Mwanaume aweza kuwa malaya?
Mfano ukiwa na wapenzi wengi halafu unajua matokeo ya tabia hiyo na mtu mwingine anakuonya kuhusu hiyo tabia lkn mtu huachi ni mazingira ya kuambiwa yalaimiwe hapo?Inategemea na attitude ya huyo mwanaume,mtu anayemwambia na pia mazingira..kwa ujumla hivi vyote vinaweza vikaleta usikivu au kupoteza usikivu kwa both men&womens
haya basi womanizer.Mwanaume aweza kuwa malaya?
ingia kwenye kamusi uangalie maana ya hilo neno.
inamilango?