MEN ARE SOO WEAK..........I'm loving it

^^
Utii ni adui wa haki sawa kwa mwanamke
^^
 
we are not so weak and you are not so strong either; there is the rule;(for men) all women needs love
(for women) all men needs respect. baaaasi hakuna uchawi, ukifanya kimojawapo kwa mwenzi wako umemmaliza.
 

kudekezwa mdekezwe nyie
si tukadeke wapi khaaaa,raha hata
sisi tunazitaka bana
 
nikiona mwanamke ile tu anataka kunipanda kichwani napiga chini , ni kosa kubwa sana kwa mwanamke ile kutaka kumpanda kichwani mwanaume. na ni zoba tu ataendelea kuwa na mwanamke wa staili hii.

mie nikiona mwanamme hasomeki napiga chini tena huwa namtema KIKATILI.
 

ni kweli kabisa unyenyekevu na kijishusha ni kitu muhimu sana hawa watu hawapendi kutawaliwa mpe uhuru wa kuwa kiongozi wakati wote.lakini kikubwa ni moyo wako kumpenda kwa dhati ,kusikilizana,heshima,jua thamani ya umpendae na neno samahani liwe jepesi mdomoni mwako.mambo yataenda muruaaaa
 
Mie na ujeuriii wangu duh
tunapelekeshana kirobotrobot tu,
dah kuna siku akaniambia wewe unanipelekesha na jeuri sababu upo na mimi lakini jua kuwa wanawake wanaotamani kuwa na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…