Memory kadi bei za tarehe 4 nov 2016 tu

thefreedot

Senior Member
Joined
May 21, 2015
Posts
135
Reaction score
25
Bei za leo tu...
Sd Memory Card
16gb - 15,000
32gb - 25,000
64gb - 50,000

Call: 0655659115
 
Napatikana mikocheni b karibia na itv
 
Itakuwa issue mpya sana hii mhh...wakati mwingine watu wana edit picture tu...afu ebay wapigaji wengi...be careful
 
We vipi

Hizo zinauzwa ebay ni nini?
Itakuwa issue mpya sana hii kama ni kweli mhh...ila wakati mwingine watu wana edit picture tu...kwenye namba hapo...afu ebay wapigaji wengi...be careful
 
Itakuwa issue mpya sana hii kama ni kweli mhh...ila wakati mwingine watu wana edit picture tu...kwenye namba hapo...afu ebay wapigaji wengi...be careful
Kama simu zinazosuport 256GB Zilitoka tangu mwaka jana kwa nn memory zisitoke?
 
@freedot../ kwa nini katika simu za androids au yangu in shot memory card ilipokufa nilipoweka ingine../ baadhi ya vitu vilishindikanika / nikidownl.../ haitokei picha bali maandishi "thumbnail not...."
why this happen?
 
Namimi nna tatizo kama hilo hilo cjajua kwannn inakua hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…