memory full,close some application C6-00

memory full,close some application C6-00

Mathias1981

Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
69
Reaction score
19
Mambo vp wanajf?kwawale wakali wa mambo ya simu naombeni msaada,maana nina nokia c6-00,naipenda kwa baadhi ya mambo ila kiukweli mara kwa mara imekua ikiniandikia maneno haya system error,mara close some application wakat hapo unakuta labda ziko application chache zinarun backgroung,nikajaribu kumchek mwenzangu anatumia android os ktk galaxy 2,akadai anafungua application nyng tu nahamna shida,asa naomba kufaham tatizo ni os ya symbian,ram za device,ama kitu gan kinachofanya nokia yangu iwe hivi??natanguliza shukran za dhati
 
mkuu delete vitu kwenye phone memory ipo karibia na full. Ikiwezekana vihamishe kwenye memory card.
 
Nnayo c6 na hili ni moja ya matatizo ya hzi simu (c6) cha msingi update hyo os yake kuna update mpya ya mwisho ilikuwa 2012 imesaidia kupunguza tatizo kama Lako kwa kiasi fulani.
 
asanteni wana,nimehamishia karibu picha na audio zote kwenye m.card..na sion tena msg hz,ila mbona kuna muda na nimeingia google ghafla screen ika restart ama nimeyakoroga mengine baada yakuhamisha files zangu,asanten
 
mkuu delete vitu kwenye phone memory ipo karibia na full. Ikiwezekana vihamishe kwenye memory card.

much respect kaka.nimefata kama ulivyoelekeza nakweli naona sasa mzuka labda lizuke mbele tena,halafu nimejaribu ku update os inakataa,no new update ndo inachoniambia
 
Nnayo c6 na hili ni moja ya matatizo ya hzi simu (c6) cha msingi update hyo os yake kuna update mpya ya mwisho ilikuwa 2012 imesaidia kupunguza tatizo kama Lako kwa kiasi fulani.

thanx kaka,katika uzoefu wenu wa symbian os ipi inaweza kuwa bora zaidi ukiacha 808 ambayo bei sitaimudu,coz nataka kama vp niize hii nipate itakayo kuwa ya bei rahisi but symbian os ambayo spd itakua kubwa kdg,nahaina matatizo dizain hii.asnte
 
Nami naombeni ushauri kati ya nokia c5-5mp na c6 ninunue ipi?
 
thanx kaka,katika uzoefu wenu wa symbian os ipi inaweza kuwa bora zaidi ukiacha 808 ambayo bei sitaimudu,coz nataka kama vp niize hii nipate itakayo kuwa ya bei rahisi but symbian os ambayo spd itakua kubwa kdg,nahaina matatizo dizain hii.asnte

nokia 701 ndio affordable na yenye speed kwa symbian
 
Back
Top Bottom