......memory card......

......memory card......

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
naomba nifahamishwe inakuaje momory card inaukubwa wa 1GB bt nimetupia nyimbo kumi tu inanambia memory ful,tatizo nini na ninatatuaje
 
Hiyo ni Fake....solution ni kutafuta original!!
 
kaka hiyo memory card ulivyoweka kwenye simu inakuandikia kuwa ina 1gb au siyo?..basi kama ukiweka nyimbo moja alafu inazingua then jaribu kuiformat kwanza...
 
naomba nifahamishwe inakuaje momory card inaukubwa wa 1GB bt nimetupia nyimbo kumi tu inanambia memory ful,tatizo nini na ninatatuaje

usikune kichwa sana, hyo memory card kama ni mpya, basi feki. Kama sio mpya, basi ina virus, na uitupe
 
Back
Top Bottom