Does any one knows how to remove an old firmware of a memory card coz hawa wachina wanaweka firmware ambayo iko weak sana virus wakingia kidogo tu inakuwa ni ya kutupa maana hauwezi kuiformat wala kuingiza file la aina yeyote ile.
No the problem its not me the problem is the people whose bring me these memory cards wanataka niwarekebishie coz ukiwajibu kuwa zimeharibika hazifai wanakuwa hawaelewi so tatizo ni hizo firmware ambazo zinakuwa hazipo stabble,ukizibadili unakuwa unesolve tatizo so how?