2GB TF card Memory for Nokia 5250 5233 E72 E71 E63 E028
Mzee kama bado hujaipata hiyo memory card ya Nokia E72 yako, sisi tunaweza kukuagizia kutoka San Francisco, USA ambako tumezipata mpya. Bei yetu ya sokoni ni $ 20.0 na gharama ya kuisafirisha mpaka Dar ni $ 5.00 hivyo jumla ni $ 25.00 au equivalent in Tshs kutegemeana na soko la madafu hapo Dar siku unayokuja kulipia. Utalipia ikishafika Dar kwa agent wetu aliyeko karibu na Posta mpya hapo Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi au kama unahitaji kitu kingine ambacho huwezi kukipata kwenye masoko ya Tanzania basi tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara.