Thanx this very useful to me too.
If I want to withdraw from company's directorship. Or remove someone else even if she is not willing.
What are procedures?
ahsanteni kwa muulizaji na alietoa hizo nakala.chamsingi tuwe makini kwenye kuedit,maana unawezakujikuta umeacha address ya kampuni nyingine kwenye kampuni yako.watanzania tuna fursa nyingi sana za kibiashara,tuzitumie jamani.
Nashukuru kwa ushauri na nitaufanyia kazi mara nyingine japo sidhani kama kueleweka lilikuwa tatizo kama unavyodai kwani hata kabla hujacomment nilikuwa tayari nimepata nilichokuwa nahitaji.Mungu ambariki aliyejitoa kwani yaonekana wengi wamenufaika kwa kujitoa kwake. Sikuandika vile kwa kuwa naabudu kiingereza au ninadharau kiswahili lahasha mkuu imetokea tu.
Sorry, for some reason ninataka kufungua kampuni itakayo husika na maswala ya usafi ila tatizo sijajua tofauti zilizopo kwenye memorandum and article of association kati ya private company by shares na private company by guarantee naombeni msaada wenu wakubwa,na kama kuna sample naomba mnisaidie wazee tafadhali
asante kwa hizo documents. ninasikia sheria inasema lazima ma-director wawe wawili, je hiyo inaamaanisha hata shareholders pia lazima wawe wawili? au ninaweza kumiliki 100% , ma-directors wakawa watendaji tu wasio na hisa?
asante kwa hizo documents. ninasikia sheria inasema lazima ma-director wawe wawili, je hiyo inaamaanisha hata shareholders pia lazima wawe wawili? au ninaweza kumiliki 100% , ma-directors wakawa watendaji tu wasio na hisa?
kwa upand wa private company, directors lazima muwe wawili kwenda mbele, pa directors munaweza kuwa wote mulio na share kwenye kampuni au mmoja wenu anaweza akawa anashare 100% akachagua madirector wawili wengine au yeye akawa director na mtu mwingine asiekuwa shareholder akawa director.. .ngoja wengine waje pia watoe ushauri wa kitaalamu zaidi.