Habari zenu wakuu!
Sorry, for some reason ninataka kubadilisha ownership status ya biashara yangu kutoka kwenye sole proprietorship kuwa limited company. Kama sehemu ya requirements ninahitaji kudraft Memorandum and Articles of Association.
As usual huwa hatuevent the wheel kwenye hili ndio maana ukijaribu kuzingalia hizi docs za kampuni nyingi zinafanana word to word tofauti ni corporate names na directors names pekee.In case unataka kuprove hili nenda kwenye secreataria services around BRELA. So ombi langu kwenu ni kamba naomba mwenye soft copy ya hizi docs anisaidie then nitasuperimpose ili huo muda wa kutype nifanye kitu kingine more productive. Thanks and I'm looking forward to your support.
Ni pm nikutumie draft.
Tusaidie na wengine, tunahitaji msaada, plse!
Nenda Secretarial Bureau watakuwa na softcopy, ni rahisi kuedit na kubind hapo hapo, lakini umeshafanya "Name clearance" na BRELA?
Thanx this very useful to me too.
If I want to withdraw from company's directorship. Or remove someone else even if she is not willing.
What are procedures?
Asante sana kwa docs hiziKwa faida ya wote documents nazishusha kama ifuatavyo
Kwa faida ya wote documents nazishusha kama ifuatavyo
Mwaveja sana.......!
Hivi how much does it cost kusajili Campany. Gharama zote kwanzia Momorandum mpaka articles of association and advocate and fee za BRELA?
Asante mkuu kwa ushauri.Mkuu procedure kwanza inategemea voting power uliyo nayo, kama unamiliki share zaidi ya 51% ya share zote unaweza kumwondoa au kumweka director yeyote kwenye board, pia vitu kama hivi vinaweza kuwekwa kwenye MEMART au mahitaji mengine ambayo ni specific kwako, hii niliyokupa ni standard lakini unaweza kuibaridisha kukidhi mahitaji yako