Memelodi Sundowns wasiione hii, ni aibu

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
1710747046247.png

Jana nimelala usiku nikaskia makelele mtaani nikajua kuna binti anaolewa kuja kukumbuka badae kumbe Yanga ilikua inacheza. Azam wana masifa sana kumkanda bwana harusi mtarajiwa wa robo fainali klabu bingwa Afrika ni kumdhalilisha.

Unapoelekea kukutana na timu kubwa kama mamelodi sundowns alafu unafungwa mechi ndogo za ligi ni dalili mbaya sana tuambiane ukweli tu ndugu zangu katika imani.

Azam ni timu ya maonesho siku zote haina soka la ushindani ndio maana hata kwenye mechi za kimataifa ilitafunwa mapema tu haina uzoefu wowote sasa Yanga jana pamoja na kuchezesha mastaa wote mpaka Pacome kuumia wamepasuka inashangaza sana, sijui kocha alikua anajaribu kibuyu kipya au?

Kupoteza mchezo dhidi ya Azam ni aibu, kimkakati Mamelodi sundowns wamepata maeneo ya kuwashika na kuwafanya mpoteane kwa sasa kirahisi tu wanaangalia ubora wa Azam ulikua wapi na wachezaji mlochezesha ni wapi kisha wanaboresha na kuwaekea mijitu yao ya mtumba

Yanga na simba bado zina ushindi wa papatu papatu pangu pakavu pwagu na pwaguzi soka la janja janja nyingi halitatufikisha mbali inabidi kucheza kitimu kimkakati hatua ya robo fainali sio lele mama hata kidogo.
 
Unapoteza muda kuandika ujinga.
 
Kuna member mmoja alisema hadhi ya jukwaa inashuka nikawa namuona kama mjivuni kumbe nilikua nakosea sana..
Mpira wa miguu ni mchezo wa mbinu na ufundi kiwanjani na ikitokea umezidiwa au mtu akakuwahi basi unapigwa kwan hao Mamelod hawafungwi mchezo wa mwisho wametoka drop ingekua ivyo pale ligi kuu ya Africa kusini wangekua wanashinda michezo yote..
 
Jana nimelala usiku nikaskia makelele mtaani nikajua kuna binti anaolewa kuja kukumbuka badae kumbe Yanga ilikua inacheza. Azam wana masifa sana kumkanda bwana harusi mtarajiwa wa robo fainali klabu bingwa Afrika ni kumdhalilisha.

Unapoelekea kukutana na timu kubwa kama mamelodi sundowns alafu unafungwa mechi ndogo za ligi ni dalili mbaya sana tuambiane ukweli tu ndugu zangu katika imani.

Azam ni timu ya maonesho siku zote haina soka la ushindani ndio maana hata kwenye mechi za kimataifa ilitafunwa mapema tu haina uzoefu wowote sasa Yanga jana pamoja na kuchezesha mastaa wote mpaka Pacome kuumia wamepasuka inashangaza sana, sijui kocha alikua anajaribu kibuyu kipya au?

Kupoteza mchezo dhidi ya Azam ni aibu, kimkakati Mamelodi sundowns wamepata maeneo ya kuwashika na kuwafanya mpoteane kwa sasa kirahisi tu wanaangalia ubora wa Azam ulikua wapi na wachezaji mlochezesha ni wapi kisha wanaboresha na kuwaekea mijitu yao ya mtumba

Yanga na simba bado zina ushindi wa papatu papatu pangu pakavu pwagu na pwaguzi soka la janja janja nyingi halitatufikisha mbali inabidi kucheza kitimu kimkakati hatua ya robo fainali sio lele mama hata kidogo.
Ulishasahau hao Azam walifungwa 3-2 mzunguko wa kwanza??
Kama anafungwa Al ahly bingwa mtetezi wa Afrika sembuse Yanga??
Embu kaitizame Al ahly ipo yangapi kimsimamo wa ligi na imefungwa na timu za aina gani.
Kuzidiwa mbinu kimchezo ni kawaida,embu punguzeni ujuaji mwingi ninyi majamaa.
Shida kila mtu anajikuta mchambuzi wa soka.
 
Tatizo linaanzia pale ambapo watu wanataka kila mechi simba au yanga ashinde kwasababu team zingine ni ndogo. Kwani team zingine huwa zinacheza hazitaki ushindi?

Nini maana ya kuwekwa refarii na mchezo dakika90?. Hakuna timu isiyofungwa ,ukifungwa kubali tu mpinzani kakuwahi kimbinu
 
Huyu jamaa ni kichaa Azam anaiita timu ndogo ila amesahau mwaka Jana kadodosha point za kutosha Kwa hao hao Azam.
 
Ulishasahau hao Azam walifungwa 3-2 mzunguko wa kwanza??
Kama anafungwa Al ahly bingwa mtetezi wa Afrika sembuse Yanga??
Embu kaitizame Al ahly ipo yangapi kimsimamo wa ligi na imefungwa na timu za aina gani.
Kuzidiwa mbinu kimchezo ni kawaida,embu punguzeni ujuaji mwingi ninyi majamaa.
Shida kila mtu anajikuta mchambuzi wa soka.
Ahaa, ila akifungwa Simba ni mbovu, pumbav
 
Mkuu msimu huu simba mbovu tukubali tukatae tubishane mpaka kiama.
Simba Kocha Benchika anaibeba sana timu kwa mifumo yake ila tatizo wachezaji hawakidhi viwango.
Simba fumueni kikosi laa sivyo khabar itakua ingine.
 
Back
Top Bottom