Membership kny ngo

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
wadau, mi na washkaj zangu tumesajili NGO home affairs mwaka sasa umeisha. baadh ya members nilionao ni wazembe yaan they dont care, hata hawaulizii tunendeleaje.. hii NGO ni environmental and climate change based...
Natafuta watu walio committed ambao tunaweza kaa chini na kufanya kitu maana hivi vitu vina manufaa kama wote mtakuwa focused, dedicated and serious.
Plz niPM kama you are interested.. Tupo Dar na Dodoma
 
Sijaelewa vizuri mnachotaka haswaaaa,mnataka member kwa kazi gani? do you have any sourse of fund?Do you need fund? do you need advice?please let us know us know exactly what do you want. Aksante:)
 
Sijaelewa vizuri mnachotaka haswaaaa,mnataka member kwa kazi gani? do you have any sourse of fund?Do you need fund? do you need advice?please let us know us know exactly what do you want. Aksante:)

We have one source of fund which lasts this year. So, we are in need of founder members cause we need to delete the former ones because of their unseriousness... With this thing we can move on with proper strategies. So kama kweli we ni mwanaharakati naomba tushiriiane katika hili.
 
Mimi ni mdau na sana wa masula hao mzee na napenda sana kushirikiana na watu ambao kweli wana macho ya maendeleo kwa ajiri ya nchi yao. Nipe address zako mkubwa nikutafute.
 
Mimi ni mdau na sana wa masula hao mzee na napenda sana kushirikiana na watu ambao kweli wana macho ya maendeleo kwa ajiri ya nchi yao. Nipe address zako mkubwa nikutafute.

Sawa mkuu nichek kupitia abmtongole@gmail.com tuwasiliane mkuu... Kuna watu kadhaa pia wamenipm ntawacontact shortly
 
Back
Top Bottom