Kasoro mimi tu humu yaan kila mtu tajiri humu woiiii na wote wanadrive utasikia nipo kwenye foleni kumbe mtu tupo nae tumeshikilia bomba la mwendo kasi
Wewe.. . Kwenye kasri lake la Tabata ni kama machinjio ya Vingunguti. Videmu huwa vinalalamika jamaa ana mashine kama ya punda lakini bado vinapanga foleni kubanduliwa. Pesa ni sabuni ya roho
Mkuu napitia business proposal ya family company, hawa graduates wasikuiz bwana yan hawawezi kuandika hata 1Billion kwa Tarakimu, nikimaliza ntaandika uzi muref