Members wa JF bwana!!!!

Ila yote kwa yote kujisifia umasikini ni upuuzi wa hali ya juu.
 
hahahaha humu ndani watu wengi wana-fake ukija kuwaona sasa hahahahaha
....

kwani ina-cost shilling ngapi kuwa real...!!!

nitafanya yote lakini sio ku-fake
 
Mmh maskini wee mie tu ndo mteja wa daladala za igoma airport,igoma buhongwa,airport buhongwa,igombe,mzunguko luchelele,maili moja mzunguko,buswelu etc.
Usisahau siku kuna route ya Nyamhongolo via MECCO kwenda hospitali ya SEKOUTOURE, pia kuna Kishiri/Kisesa - Bwiru, pia kuna Pansiansi Via Buzuruga kwenda Buhongwa hahahahahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…