Huyu jogoo hajauzwa tu bado? Au kakosa bei?
Huyo fataki hatanunulika aisee! Anaweza kumnanihii mtoto wa kiume wa mnunuzi!Nimepunguza bei lakini haiuziki
Hahahsas Jirani unavitukoSeriously!!!!!! Mh Huyo jongoo kama nikimnunua itabidi nimtengenezee banda la chuma maana unaweza kukuta usiku mmelala wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87]Seriously!!!!!! Mh Huyo jongoo kama nikimnunua itabidi nimtengenezee banda la chuma maana unaweza kukuta usiku mmelala wote