Member mwenzetu YO YO yuko matatani

majuzi tu huyu jamaa alienda Lupango ya Invisible, sasa tena! Inaonesha ni mkorofi....inabidi ajirekebishe!
 
Sheria zipo ili zitumike,na mpaka zitumike lazima zivunjwe. Yo Yo nakupongeza kwa kufanya sheria zetu zitumike. Mkuu mbona wanakunyanyasa?mi nkikamatwa naishia kulipa elf5,10. Sasa we wanalamba mpaka 50elf?kweli unazo za bure. Ila next time punguza kutanua!
 
Safi sana tuwape pongezi askari kwa kufanya kazi kwani kaonewa hajaonewa ni haki yake sababu umesimamishwa na askari unaenda ingekuwa huku ninakoishi we utakakuta kakaratasi kamekaa mezani na utatangazwa mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…