K know-ledge Member Joined Sep 4, 2024 Posts 70 Reaction score 94 Sep 14, 2024 #1 Habari wakuu naitwa know-ledge ni member mpya hapa katika forum hii baada ya kuwa guest kwa miaka kadhaa.
Habari wakuu naitwa know-ledge ni member mpya hapa katika forum hii baada ya kuwa guest kwa miaka kadhaa.
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Sep 14, 2024 #2 Karibu sana ndugu.
Pythagoras JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 2,334 Reaction score 6,121 Sep 14, 2024 #4 mbona banda halina mifugo 🤔
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,790 Reaction score 86,536 Sep 14, 2024 #5 we kweli mpya... mkuu futa picha itakuja kukuponza huko baadae ukija kuchangamka!
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 7,759 Reaction score 14,474 Sep 14, 2024 #6 Karibu kijana ,vipi unafuga nguruwe??
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,208 Reaction score 18,226 Sep 14, 2024 #7 KENZY said: we kweli mpya... mkuu futa picha itakuja kukuponza huko baadae ukija kuchangamka! Click to expand... 😃😃
KENZY said: we kweli mpya... mkuu futa picha itakuja kukuponza huko baadae ukija kuchangamka! Click to expand... 😃😃
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,203 Reaction score 10,839 Sep 14, 2024 #8 Nimechekaaaa kisela yaani katuwekea na picha yake tumuoneee 😏😏😏😕😕😂😂😂😂😊😊😊 KENZY said: we kweli mpya... mkuu futa picha itakuja kukuponza huko baadae ukija kuchangamka! Click to expand...
Nimechekaaaa kisela yaani katuwekea na picha yake tumuoneee 😏😏😏😕😕😂😂😂😂😊😊😊 KENZY said: we kweli mpya... mkuu futa picha itakuja kukuponza huko baadae ukija kuchangamka! Click to expand...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,790 Reaction score 86,536 Sep 14, 2024 #9 Cassnzoba said: Nimechekaaaa kisela yaani katuwekea na picha yake tumuoneee 😏😏😏😕😕😂😂😂😂😊😊😊 Click to expand... msela anazingua afikirie na baadae jf mtu unaingia mpole ngoja uzoee utatiririka vingi,leo kesho watu wanafukua kaburi la picha!
Cassnzoba said: Nimechekaaaa kisela yaani katuwekea na picha yake tumuoneee 😏😏😏😕😕😂😂😂😂😊😊😊 Click to expand... msela anazingua afikirie na baadae jf mtu unaingia mpole ngoja uzoee utatiririka vingi,leo kesho watu wanafukua kaburi la picha!
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,957 Reaction score 9,431 Sep 14, 2024 #10 KENZY said: msela anazingua afikirie na baadae jf mtu unaingia mpole ngoja uzoee utatiririka vingi,leo kesho watu wanafukua kaburi la picha! Click to expand... Mbona kina Paskali picha zao wameweka humu kwa nini yeye mnamtisha!!??
KENZY said: msela anazingua afikirie na baadae jf mtu unaingia mpole ngoja uzoee utatiririka vingi,leo kesho watu wanafukua kaburi la picha! Click to expand... Mbona kina Paskali picha zao wameweka humu kwa nini yeye mnamtisha!!??
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,790 Reaction score 86,536 Sep 14, 2024 #11 jkipaji said: Mbona kina Paskali picha zao wameweka humu kwa nini yeye mnamtisha!!?? Click to expand... for official account ambayo utakuwa ns nidhamu nayo ktk matumizi,so kama ataweza hilo ni sawa tahadhari nayompa asije akajisahau akatumia akaunti hii hii ambayo ameshajicholesha! ogopa mitandao huwa haisahau!
jkipaji said: Mbona kina Paskali picha zao wameweka humu kwa nini yeye mnamtisha!!?? Click to expand... for official account ambayo utakuwa ns nidhamu nayo ktk matumizi,so kama ataweza hilo ni sawa tahadhari nayompa asije akajisahau akatumia akaunti hii hii ambayo ameshajicholesha! ogopa mitandao huwa haisahau!
Chapati Tatu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2024 Posts 393 Reaction score 818 Sep 14, 2024 #12 Na kaselfie kdg, ukute kuna watu wamescreenshot
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,203 Reaction score 10,839 Sep 14, 2024 #13 Chapati Tatu said: Na kaselfie kdg, ukute kuna watu wamescreenshot Click to expand... Ukiwemo 😂😂
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,269 Sep 14, 2024 #15 mbn unazeeka
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 4,800 Reaction score 8,989 Sep 14, 2024 #16 KAribu huku utachunwa kila kitu hadi akili takecare
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,269 Sep 14, 2024 #17 SweetyCandy said: KAribu huku utachunwa kila kitu hadi akili takecare Click to expand... si ajabu akabakizwa na kandambili
SweetyCandy said: KAribu huku utachunwa kila kitu hadi akili takecare Click to expand... si ajabu akabakizwa na kandambili
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 4,800 Reaction score 8,989 Sep 14, 2024 #18 Mwachiluwi said: si ajabu akabakizwa na kandambili Click to expand... Umeona mabanda hayana kitu ikula kwake tayari
Mwachiluwi said: si ajabu akabakizwa na kandambili Click to expand... Umeona mabanda hayana kitu ikula kwake tayari
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 3,662 Reaction score 7,666 Sep 14, 2024 #19 KENZY said: we kweli mpya... mkuu futa picha itakuja kukuponza huko baadae ukija kuchangamka! Click to expand... Atafungua ID mpya
KENZY said: we kweli mpya... mkuu futa picha itakuja kukuponza huko baadae ukija kuchangamka! Click to expand... Atafungua ID mpya
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,136 Reaction score 13,401 Sep 14, 2024 #20 Karibu mjukuu wangu.