Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
Tunataka mtu atakaekuza haka kakitu kanaitwa 'salary' tupate maisha bora tumechoka na malumbano ya wanasiasaView attachment 78742
Nimeipenda hii katuni, mchoro wa ukweli huu, cheki swaga za bread hapo juu! Utamtakaje?
Maoni yangu :
Huyo mlalamikaji hakutakiwa kumtaja salary kwa aababu tayari amesha mlebo. Pia wajifunze lugha maana hicho kilichoandikwa hapo ni kiswahili cha kizungu sio kizungu, i mean ni kiswahili kilichoandikwa kwa kiingereza.
Asanteni kwa kunisikiliza.