MEMBE ni JEMBE 2015

MEMBE ni JEMBE 2015

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,114
kiukweli huyu mhe. ni jembe haswa kwa hoja zake mahsusi, uzoefu wake wa kimataifa na kitaifa pia ni mtu muadilifu na mshika dini, pia ni baba wa familia safi. Umri unamruhusu (tofauti na wagombea wengine) zaidi huyu ndie atakayetuvusha kama Taifa. Hana kashfa za rushwa zinazoonekana. Hongera sana Mhe. Membe umetupa heshima kubwa na adimu wana LINDI na kusini kwa ujumla
 
Jembe lipi alilofanya mpaka umwite jembe, au unaleta mambo ya ukanda.
 
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?
 
Hivi hawa Majambazi sugu hawajamaliza kuwewesekaweweseka tu? Watanzania mwaka huu hawataki wanaochota pesa za walipa kodi kwa mgongo wa chupa.
 
hana lolote, bilioni 200 za vitambulisho vya Taifa ziko wapi, mtu anayetaka Tanzania liwe Taifa la kiislamu, hawezi katiza octoba 25, watanzania tumechoka na mambo yenu kachezeni taalabu Msoga tu, hatuwezi kuendelea kuteseka tena, na jina eti anaficha na kujiita Benard wakati ni Bakari Mrisho Kikwete.
 
kiukweli huyu mhe. ni jembe haswa kwa hoja zake mahsusi, uzoefu wake wa kimataifa na kitaifa pia ni mtu muadilifu na mshika dini, pia ni baba wa familia safi. Umri unamruhusu (tofauti na wagombea wengine) zaidi huyu ndie atakayetuvusha kama Taifa. Hana kashfa za rushwa zinazoonekana. Hongera sana Mhe. Membe umetupa heshima kubwa na adimu wana LINDI na kusini kwa ujumla

jembe kwa kuwa shekh ili awe waziri mwaka huu hana chake hatutaki kofia
 
Back
Top Bottom