OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Wadau!
Kwanini mh Bernard Membe anamuhofia lowassa kiasi hiki?nimekuwa nikijiuliza bila majibu,Membe amekuwa akifanya kila awezalo kuhakikisha anamchafuwa lowasa kwa njia yoyote ile,iwe halali au haramu lakini kila anapojaribu mission yake inafeli.
Sasa nimuulize tu mh Membe kama anajiamini na nimwanaume wa shoka kwanini asisubiri muda ufike waingie uwanjani kupimana nguvu?si anategemea familia ya rais itambeba kwanini angaike?
Kupigiwa debe
na familia ya
jk si anaona ni uhakika wa kuingia ukulu.atulie asubiri muda akapimane na lowassa tuone nani mshindi.