Membe anatumika kuua upinzani?

Mkuu usiwe na shaka safari hii wapinzani wako very smart; wao ndio wanamtumia Membe kushughulika na mifumo mibovu ya ccm. Ana ucheza mziki wa wapinzani na anakikosoa chama chake akiwa humo humo. Ameshaanza kuzungumzia tume huru yenye kutenda haki akiwa huko huko ccm bado hujaona kama anatumika? Tena na upinzani.
 
Aisee ongeza sauti au rudia tena.
Membe ni km Lowassa kipindi kile finish.
 

Attachments

  • VID-20200621-WA0025.mp4
    2.2 MB
Membeeee chambo hicho. Finish.
 

Attachments

  • VID-20200621-WA0011.mp4
    2.8 MB
Vijana wa upinzani wenyewe ndiyo wanampa Platform Membe ya kusikika wakati hana lolote la maana zaidi ya kujipigisha vikelele uchwara tu.

Membe huyu alipigia katiba ya hovyo ya mzee Sita leo anazungumzia tume huru.?

Vijana wa upinzani mmepoteza focus badala ya kuzungumzia serious issues mko busy kudeal na petty issues za wanasiasa uchwara kama kina Membe ?
 
Wenye kumbukumbu tuambieni, 2000 na 2010 ilikuwaje? Walijitokeza wengine kuwapa challenge Mkapa na Kikwete?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…