technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,452
Muulize Shibuda ana majibuDuh hivi mwaka 2000 na 2005 kina nani walijitokeza kuchukua Fomu za Urais bara?
Wajuvi tupeni kumbukumbu
Hahaaa naona homa kali hapo imeanza kuingia kwa ccm, sumbukeni na Membe kwanza halafu mje mkutane na chama dume CDM.Mwaka 2010 waliotaka kumchallenge Kikwete ilikuwaje? mwaka 2000 je kwa Mkapa ilikuwaje? Membe kugombea urais mwaka huu anatumwa na nani? hata angekuwa yeye ndiye rais angekubali mtu mwingine apewe form? Sikubaliani Na Magufuli kwa mambo mengi ila kuna ajenda ya siri anayo Membe.
Membe anatumika kupoteza tension ya uchaguzi ndani ya vyama vya upinzani na kuteka social media ili wagombea wa upinzani wakose platform.
Membe ni mtu hatari kwa upinzani kuliko hata ccm kwenyewe mimi binafsi kama kuna chama cha upinzani hasa CHADEMA AU ACT watamkaribisha Membe nitamchagua Magufuli hatuwezi kurudisha nchi kwa hizi ngedere.
Kwa hili sikukubaliani na wewe,mengi umeandika humu nimerespond positively lkn kwa hili hapanaMwaka 2010 waliotaka kumchallenge Kikwete ilikuwaje? mwaka 2000 je kwa Mkapa ilikuwaje? Membe kugombea urais mwaka huu anatumwa na nani? hata angekuwa yeye ndiye rais angekubali mtu mwingine apewe form? Sikubaliani Na Magufuli kwa mambo mengi ila kuna ajenda ya siri anayo Membe.
Membe anatumika kupoteza tension ya uchaguzi ndani ya vyama vya upinzani na kuteka social media ili wagombea wa upinzani wakose platform.
Membe ni mtu hatari kwa upinzani kuliko hata ccm kwenyewe mimi binafsi kama kuna chama cha upinzani hasa CHADEMA AU ACT watamkaribisha Membe nitamchagua Magufuli hatuwezi kurudisha nchi kwa hizi ngedere.
Itajulikana June hadi OctoberMwaka 2010 waliotaka kumchallenge Kikwete ilikuwaje? mwaka 2000 je kwa Mkapa ilikuwaje? Membe kugombea urais mwaka huu anatumwa na nani? hata angekuwa yeye ndiye rais angekubali mtu mwingine apewe form? Sikubaliani Na Magufuli kwa mambo mengi ila kuna ajenda ya siri anayo Membe.
Membe anatumika kupoteza tension ya uchaguzi ndani ya vyama vya upinzani na kuteka social media ili wagombea wa upinzani wakose platform.
Membe ni mtu hatari kwa upinzani kuliko hata ccm kwenyewe mimi binafsi kama kuna chama cha upinzani hasa CHADEMA AU ACT watamkaribisha Membe nitamchagua Magufuli hatuwezi kurudisha nchi kwa hizi ngedere.
Sabi Munasa sabi,aliishiwa nauli njiani,akitokea Musoma kuja Dar kuchukua fomuDuh hivi mwaka 2000 na 2005 kina nani walijitokeza kuchukua Fomu za Urais bara?
Wajuvi tupeni kumbukumbu
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu[emoji28][emoji28][emoji28]
Membe ni kamanda tumuamini
Membe mkombozi wetu sisi chadema
Membe akigombea tutadeki barabara kuanzia Mbagala hadi Nanyumbu
Mkuu mbona kama utabiri huu sioni kama unamatumaini ya kuweza kutokea?Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
Yeye mwenyewe ametamka kuwa between June and October, maajabu yatatokea...........Mkuu mbona kama utabiri huu sioni kama unamatumaini ya kuweza kutokea?
Mwaka 2010 waliotaka kumchallenge Kikwete ilikuwaje? mwaka 2000 je kwa Mkapa ilikuwaje? Membe kugombea urais mwaka huu anatumwa na nani? hata angekuwa yeye ndiye rais angekubali mtu mwingine apewe form? Sikubaliani Na Magufuli kwa mambo mengi ila kuna ajenda ya siri anayo Membe.