Membe anatakiwa kuchukuliwa hatua kwa ufisadi huu alioufanya

Rumours are anataka kujiunga ACT...
Tusubiri na tuone.
Ok naunga mkono hoja ila nataka collabo liwe Lipumba,Slaa na Membe ili tupate upinzani wenye tija lakini nchi tutawapa baada ya Magufuli kumaliza miaka yake 10
 
Ok naunga mkono hoja ila nataka collabo liwe Lipumba,Slaa na Membe ili tupate upinzani wenye tija lakini nchi tutawapa baada ya Magufuli kumaliza miaka yake 10
Sijui keshahamia?

Ah,sijui bwana.

Wewe nae ndio walewale tu
,nipishege huko.
 
Nahisi Membe anataka kulipua bomu flan, ila CCM wanajiharishia pembeni, wanatafuta njia ya kumzima
 
Kuna mtu tunamdai pesa za kivuko cha mv Bagamoyo na nyumba za Serikali mbona yeye asemwi au ni mungu mtu ?
 
Tusubiri tuone ila akienda atabadilisha kidogo political trend kwa sababu anasemwa kwa tuhuma nyingi sana since ktk mchakato wa urais ndani ya CCM
 
Vipi na yule muhusika wa kile kivuko kibovu cha Bagamoyo naye pia achunguzwe.
 
Sasa Boss kama Lowasa alipokelewa CHADEMA na akawekwa kuwa ndo mgombea uraisi within one day huku alikuwa kwa list of shame ya CHADEMA,, kwanini ushangae Membe kuhamia ACT wakati hata kama ni ufisadi huo unaosema ni wa ela ndogo ndogo haufikii ata ela ya mboga tu,,??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…