Membe ni kachero wa "zamani". Kuna mambo amenusa kimya kimya. Inawezekana anazungumza kwa niaba ya "wenzake" hasa Wanasiasa na Wafanyabiashara.
Ila pia kuna mambo amezungumza ni ya msingi kabisa. Kama ukubwa wa Serikali.
Kingine nafikiri ni namna ya ku~neutralize nguvu za Magufuli dhidi ya Chama. Hili itakuwa kuna wengine wazito nyuma yake. Kumfanya Jpm ni mdogo a~align na chama effectively.
Tutaona hayo kwenye vikao vijavyo vya Chama. Hayo ni maandalizi tu.
Tutaona
The boss inawezekana kabisa Membe asiwe na influence kubwa Tiss lakini akawa na namna ya kunusa mambo. Hapo strenght yake ni siasa ndiyo maana amejitokeza hadharani.
Mosi, kuwapa nguvu "wenzake" siasani na wachangiaji wao. Pili kuonyesha msuli kuwa Jpm asisahau alikotoka. Maelezo yake hajayatoa bahati mbaya. Nafikiri pia atakuwa anajua implications zake.
Battle ground ni ndani ya Chama, huku Uraiani na Serikalini Jpm ameshatawala game, ingawa ushindi wake utategemea wenye Chama wamejipangaje.
Wale ambao hawakuwepo zamani na hawajui kilichotokea kipindi hiko
basi ni vizuri tukawasimulia kidogo
Kuelekea uchaguzi wa mwaka 1995 CCM walikuwa na kambi mbili kubwa
ya kwanza ilikuwa ya John Malecela Waziri mkuu na ya pili ilikuwa
ya Horace Kolimba alikuwa katibu mkuu wa chama...
Upinzani ulikuwa mkali sana hadi Mwl. Nyerere alipoingilia kati na
kutunga kitabu akiwaponda wote wawili akiwataka wajiuzulu
waliposhindwa zuia hoja za serikali ya Tanganyika ,Baada ya Mkapa kuapishwa na
kuanza kuongoza....Kolimba akajitokeza hadharani kuikosoa na kuiponda serikali ya Mkapa
maneno yake maarufu yalikuwa 'serikali haina dira wa muelekeo'..
Alipoongea maneno hayo CCM wakamuita kumhoji Dodoma...
akiwa katikati ya kuhojiwa..akafariki....ndio chanzo cha maneno maarrufu
'watakukolimba' maneno haya hasa yalianzishwa na Mchungaji Mtikila
ambae alisisitiza Kolimba 'alichezewa' faulo....
Baada ya leo Membe kumkosoa hadharani Magufuli kwa jinsi anavyoendesha serikali yake
na baada ya leo kumuona Magufuli akiwa ndani ya uniform za JWTZ..
nimejikuta najiuliza......'Membe anamkumbuka Kolimba'?
CCM wote akiwemo Membe walisisitiza Magufuli ni chaguo sahihi
ni mtu wa kufanya utumishi wa kutukuka na atakuwa Rais bora kabisa
sasa mbona wanaanza kumkosoa hata miezi minne bado?
Si wamuache 'Rais wetu mpendwa apige kazi'? wanahofia nini?
wameona dalili zipi? lakini je wanamkumbuka Kolimba?
Kolimba alifutwa kwenye ramani ya Nchi kisha akafuatia Nyerere ambaye alienda kumaliziwa kulekule alipolazwa Kipindi cha mkapa walipotea wengi ili kupisha kiwingu wafanye yao ya kuuza Mashirika, madini, mashamba, EPA nk , mkapa alikuwa tayari kuteketeza yeyote ambaye aliweka usiku kwenye anga zake za Ulaji wa kuifirisi Nchi.Kolimba alikuwa na uthubutu ambao Membe hana. Kolimba ni kizazi cha wana CCM ambao hawakujali nani atasema nini baada ya wao kujenga hoja zao. Membe hana hizo Guts, amejaa huruma moyoni mwake, ni mwanadiplomasia ambaye anataka kuwa mtu wa kimataifa kila kukicha, Marehemu Kolimba alikipenda Chama cha Mapinduzi, akajaribu kuwa mkweli kadri awezavyo lakini nyakati alizoishi hazikuendana na mapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa CCM.
Mkuu kuna sheria ya cyber crime, unaifahamu vizuri lakini au unaropoka Jamii Forum?, ukiombwa utoe ushahidi wa maneno yako utakuwa tayari kutoa ushirikiano?. Sio Kila kifo kina mkono wa mtu, usipende sana kusikiliza stori za mitaaniKolimba alifutwa kwenye ramani ya Nchi kisha akafuatia Nyerere ambaye alienda kumaliziwa kulekule alipolazwa Kipindi cha mkapa walipotea wengi ili kupisha kiwingu wafanye yao ya kuuza Mashirika, madini, mashamba, EPA nk , mkapa alikuwa tayari kuteketeza yeyote ambaye aliweka usiku kwenye anga zake za Ulaji wa kuifirisi Nchi.
membe ana Hasira na Magufuli kwa sababu alimwahidi wakati wa kampeni kuwa akiingia ikulu atamteua kuwa Mbunge kisha kuzadawadia Wizara yenye Ulaji mwingi kama vile wizara ya fedha, Nishati, biashara, uchukuzi, mali Asili, na pengine mambo ya Nje pia. Kwenye kampeni alijitoa muhanga akatumia pesa zake za madili, pesa alizopewa na Waarabu wa Oman, pesa za Gadafi, pesa za tenpecent Ununuzi wa nyumba za balozi huko nje na madili kibao, Membe alitumia pesa zake nyingi kumhujumu Lowasa na timu yake huku akitumia zingine kumnunulia goli la mkono Nape ambaye ni mtumishi wake kwenye vita na Lowasa, alitegemea Magufuli atampa Ulaji mwingi ili arejeshe pesa zake amgalau nusu tu lakini inaelekea Magufuli kaamua kumtosa ndipo na yeye kaamua kuropoka hayo.Lakini huyu aliwahi kunukuliwa kuwa '' Mawaziri wa JK walikuwa wanapishana angani kana kwamba kuna moto ardhini''
Kabadilika ? Au labda pengine hata yeye safari zake za nje alizotegemea zitalipiwa na serikali ya JPM zinapigwa stop..